Ukisema tu haufanyi scrub unaoshwa kama unabatizwa aisee!

Ni kweli kabsa, anakuosha kichwa utafikiri anaosha viazi.
 
Pole bro
 
Huenda wanaangalia sura ya mteja mwenyewe. Mimi kila kitu wakinijitajia ninakataa na sijawahi kufanyiwa ukatili huo.

Lakini,wanaonekana kutofurahia wateja tusiotaka huduma za ziada.

Kwa Tz haishangazi ,lakini. Maana huduma kwa wateja ni changamoto kubwa. Wengi ukishaingia ofisini mwao,hawategemei usiwaungishe. Kuondoka bila kuwaungisha kwao wanakuona mdhambi.

Dawa ni wewe kuwa firm na mwenye msimamo. Huwezi chezewa.
 
🀣🀣🀣
 
Unakuwa umewapunguzia kipato, so hawajiskii vizuri. Pole sana kwa kukutana na makasiriki hayo. Huwa inatokea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…