Hivi ukiwaambia hutaki scrub kumbe ni ttz 😄
Mimi hata kunawishwa sipendagi sana
Maana kuna siku baada ya kunyoa nikaona ameshika jagi akamimina maji kwenye kopo nikajua ni ya uvuguvugu kumbe ya baridi ile kunimwagia kwenye kichwa bado kidg nizimie kuanzia siku hiyo kunawa ni nyumbani