Ukisema tu haufanyi scrub unaoshwa kama unabatizwa aisee!

Ukisema tu haufanyi scrub unaoshwa kama unabatizwa aisee!

Hivi ukiwaambia hutaki scrub kumbe ni ttz 😄
Mimi hata kunawishwa sipendagi sana
Maana kuna siku baada ya kunyoa nikaona ameshika jagi akamimina maji kwenye kopo nikajua ni ya uvuguvugu kumbe ya baridi ile kunimwagia kwenye kichwa bado kidg nizimie kuanzia siku hiyo kunawa ni nyumbani
Mtu ambaye hajakupa like kwa hili bandiko lako..ajitafakari. Maana wewe nadhani ndo member humu huna uchoyo wa 👍
 
Back
Top Bottom