Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Nimechunguza mashabiki wa hizi timu Simba na Yanga kichwani kama zimepungua Fulani hivi na wamepigwa na maisha sio poa.
Mfano Yanga ilipoingia fainali kwenye kombe la shirikisho Kuna jamaa alijirusha barabarani akakanyagwa na gari ubongo nje alaacha familia na watoto watatu wakiteseka kwenye umasikini wa Hali ya juu mkewe Sasa hivi anafanya kazi ambazo si rafiki Ili apate pesa ya kulea watoto.
Nadhani mmeona ujinga wa KUSHABIKIA Simba na Yanga na huyu ni mfano tu