Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Kila mtu ana starehe yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kukushangaa nimeshabainisha akili zao hao watuKila mtu ana starehe yake
Yeye ananufaika nayo tena kiuchumi.....wewe mwenzangu unapata nini zaidi ya kushinda kupayuka kwenye vibanda kama chizi?Akili wewe ndio huna. Unawapangia watu starehe za kufanya?
By the way waziri mkuu Majaliwa anashabikia Simba, wewe na yeye nani kapigwa na maisha??
Hivi unaakili timamu kweli we jamaa nimekutajia simba na yanga ni Kwa ajili ya wajinga unataja timu zinazojielewaShida wengine hamjakulia kwenye mambo ya michezo kwa hiyo mnapoona watu wengi wanapenda kitu ambacho wewe haukijui unawaona wao hawana akili...
Washabiki wa Madrid wajaze uwanja hawana akili na masikini..
Washabiki wa Liverpool wajaze uwanja hawana akili na masikini..
Washabiki wa International Milan wakijaa Uwanjani hawana akili na masikini..
Washabiki wa Bavaria wakijaa uwanjani hawana akili na masikini..
Imagine mtu unaenda dukani kwani unakuta kafunga.....unauliza mwenye duka yuko wapi? Unaambiwa yuko.paleee anaangalua mpira wa simba na yanga.Nikiona mtu ananipigia story za simba na yanga nnamuacha Apo naenda kwangu
Wengi ni wajinga🤣🤣🤣
We Kweli kambaku majaliwa mwenzio ananufaika na mamilioni ya pesa ndio maana unamuona anajifanya anashabikia na hapo ni maigizo anafanya Ili wajinga kama wewe mumuone ni mwenzenu huku yeye akiendelea kula asali taratibuAkili wewe ndio huna. Unawapangia watu starehe za kufanya?
By the way waziri mkuu Majaliwa anashabikia Simba, wewe na yeye nani kapigwa na maisha??
Halafu baadae analalamika hamna wateja mara narogwa mara chuma ulete hahaha huwa nashangaa ga majitu ya aina hii🤣🤣🤣🤣Imagine mtu unaenda dukani kwani unakuta kafunga.....unauliza mwenye duka yuko wapi? Unaambiwa yuko.paleee anaangalua mpira wa simba na yanga.
Kuna akili kweli hapa?
Kila mtu na life lake tusipangiane cha kufanyaSiwezi kukushangaa nimeshabainisha akili zao hao watu
Shida nini kwani so nimekuambia Siwezi kukushangaa sababu akili za zenu nimeshaziweka hapoKila mtu na life lake tusipangiane cha kufanya
Kama kawaida nilisema hizo timu mashabiki wake ni mbumbumbuMwambie huyo kashiba ugali kaona aje kuropoka huku jf
Harafu wa hivi wako wengi sana.Halafu baadae analalamika hamna wateja mara narogwa mara chuma ulete hahaha huwa nashangaa ga majitu ya aina hii🤣🤣🤣🤣
Bado hawajajua hii kitu.We Kweli kambaku majaliwa mwenzio ananufaika na mamilioni ya pesa ndio maana unamuona anajifanya anashabikia na hapo ni maigizo anafanya Ili wajinga kama wewe mumuone ni mwenzenu huku yeye akiendelea kula asali taratibu
Ni kweli kabisa, ebu angalia maisha yao kwanza....yaani choka ile mbaya. Halafu wanavyonuka mikundu, makwapa na mdomo ni balaa, eti mtu anakwambia haogi mpaka Yanga ama Simba anaungwa.Nimechunguza mashabiki wa hizi timu Simba na Yanga kichwani kama zimepungua Fulani hivi na wamepigwa na maisha sio poa.
Mfano Yanga ilipoingia fainali kwenye kombe la shirikisho Kuna jamaa alijirusha barabarani akakanyagwa na gari ubongo nje alaacha familia na watoto watatu wakiteseka kwenye umasikini wa Hali ya juu mkewe Sasa hivi anafanya kazi ambazo si rafiki Ili apate pesa ya kulea watoto.
Nadhani mmeona ujinga wa KUSHABIKIA Simba na Yanga na huyu ni mfano tu
Mzee wangu utakuwa na afya ya akili.Nimechunguza mashabiki wa hizi timu Simba na Yanga kichwani kama zimepungua Fulani hivi na wamepigwa na maisha sio poa.
Mfano Yanga ilipoingia fainali kwenye kombe la shirikisho Kuna jamaa alijirusha barabarani akakanyagwa na gari ubongo nje alaacha familia na watoto watatu wakiteseka kwenye umasikini wa Hali ya juu mkewe Sasa hivi anafanya kazi ambazo si rafiki Ili apate pesa ya kulea watoto.
Nadhani mmeona ujinga wa KUSHABIKIA Simba na Yanga na huyu ni mfano tu
Eti mshabiki wa simba hii akili Gani mwenzio kawekeza pesa yake hapo we umekaa unajua anaipenda simba kutoka moyoni fuatilia hiyo familia yao kilamtu anajifanya yeye simba damu kumbe wanaivuna timu muhindi na mpira wapi na wapiMo dewji ni mshabiki WA Simba lakini
Nilishasema lazima uwe chizi ukishabikia hizo timu na hapa umeshathibitisha akili zako zimepungua Siwezi kukushangaaMzee wangu utakuwa na afya ya akili.
Tatizo bado unapiga nyeto
Malaya wapo wengi mkuu.
Miaka ya nyuma nilikuwa sishabikii mpira zaidi ya ngumi lakini Sasa nashabikia Na life inaenda.
Nakumbuka mimi kipindi hiko nashabikia hizo timu nilikua sipitwi na mechi, asubuhi lazima niende kusoma magazeti baadae kijiweni kusikiliza mabishano yaani ni addiction ya kipumbavu sanaMwanaume.unayejielewa kabisa unakaa unaangalia simba na yanga na kesho unaenda kubishana kijiweni?
Bora wewe umekiri ukweli.Nakumbuka mimi kipindi hiko nashabikia hizo timu nilikua sipitwi na mechi, asubuhi lazima niende kusoma magazeti baadae kijiweni kusikiliza mabishano yaani ni addiction ya kipumbavu sana