Ukishabikia Simba na Yanga lazima kichwani ziwe zimepungua na umasikini lazima uwe rafiki yako

Nimechunguza mashabiki wa hizi timu Simba na Yanga kichwani kama zimepungua Fulani hivi na wamepigwa na maisha sio poa.

Mfano Yanga ilipoingia fainali kwenye kombe la shirikisho Kuna jamaa alijirusha barabarani akakanyagwa na gari ubongo nje alaacha familia na watoto watatu wakiteseka kwenye umasikini wa Hali ya juu mkewe Sasa hivi anafanya kazi ambazo si rafiki Ili apate pesa ya kulea watoto.

Nadhani mmeona ujinga wa KUSHABIKIA Simba na Yanga na huyu ni mfano tu
Lakini kweli aisee, ebu angalia wauza maji ya kandoro, karanga, kahawa, wabwia unga, mademu machangu na wachawi, wamachinga, na watu walioshindwa maisha ni mashabiki wa Yanga. Wenzao Simba wanajitambua na wastaarab.
 
Ndiyo haya tunayosema kuwa mashabiki wa Yanga hawajitambui akili, usikute hata kazi hawataki kufanya wanataka kukaa kijiweni tu kushabikia timu yao na kusikiliza Bongo Fleva all day. Timu yeyote ikivaa jezi kama hizi ni kama vile imelaaniwa, rangi (laana) za CCM hazimuachi mtu salama.
 
Umesema wanaoshabikia yanga na Simba ni maskini ndo nakupa mifano kuonesha hoja yako ni uchwara.
Huyo ashabikii yanga Bali anawapupbaza wajinga kama wewe ilo muendelee kunichangia yanga mapato na yeye apate kula au hujui huyo analishwa mpaka kifo chake yeye na familia yake
 
Lakini kweli aisee, ebu angalia wauza maji ya kandoro, karanga, kahawa, wabwia unga, mademu machangu na wachawi, wamachinga, na watu walioshindwa maisha ni mashabiki wa Yanga. Wenzao Simba wanajitambua na wastaarab.
Hamna kitu hapo wote simba na yanga hawajitambui
 
Ndiyo haya tunayosema kuwa mashabiki wa Yanga hawajitambui akili, usikute hata kazi hawataki kufanya wanataka kukaa kijiweni tu kushabikia timu yao na kusikiliza Bongo Fleva all day. Timu yeyote ikivaa jezi kama hizi ni kama vile imelaaniwa, rangi (laana) za CCM hazimuachi mtu salama.
Sio yanga tu ni wote simba na yanga hawajitambui
 
Mtu kaumbwa vizuri na Mungu ila sababu ya ushabiki wa kijinga anajiita shetani wa yanga na kila mechi hutoa ahadi za kushangaza ambazo mtu na akili timamu hawezi zitoa naungana na wewe mtoa mada.
 
Umeona akili za hao watu
 
Nimechunguza mashabiki wa hizi timu Simba na Yanga kichwani kama zimepungua Fulani hivi na wamepigwa na maisha sio poa.

Mfano Yanga ilipoingia fainali kwenye kombe la shirikisho Kuna jamaa alijirusha barabarani akakanyagwa na gari ubongo nje alaacha familia na watoto watatu wakiteseka kwenye umasikini wa Hali ya juu mkewe Sasa hivi anafanya kazi ambazo si rafiki Ili apate pesa ya kulea watoto.

Nadhani mmeona ujinga wa KUSHABIKIA Simba na Yanga na huyu ni mfano tu
Kweli Huwa nikimuona mtu anashabikia hizitimu najua akili imepungua kichwani mwake
 
Akili wewe ndio huna. Unawapangia watu starehe za kufanya?

By the way waziri mkuu Majaliwa anashabikia Simba, wewe na yeye nani kapigwa na maisha??
Kama wazirikuu anashabikia hizo timu naye akili hamna
 
Nimechunguza mashabiki wa hizi timu Simba na Yanga kichwani kama zimepungua Fulani hivi na wamepigwa na maisha sio poa.

Mfano Yanga ilipoingia fainali kwenye kombe la shirikisho Kuna jamaa alijirusha barabarani akakanyagwa na gari ubongo nje alaacha familia na watoto watatu wakiteseka kwenye umasikini wa Hali ya juu mkewe Sasa hivi anafanya kazi ambazo si rafiki Ili apate pesa ya kulea watoto.

Nadhani mmeona ujinga wa KUSHABIKIA Simba na Yanga na huyu ni mfano tu
Uongo! Mpira ni kama burudani zingine tu! Kwa hiyo unataka watu wakeshe wanashabikia siasa za CCM na CHADEMA? Mada hii ni ya kipumbavu!
 
Back
Top Bottom