Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
HahahahaaaFan base ya mwiko nyuma hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaaaFan base ya mwiko nyuma hiyo
Kumbuka kila binadamu ni chizi Kwa namna yake.Nilishasema lazima uwe chizi ukishabikia hizo timu na hapa umeshathibitisha akili zako zimepungua Siwezi kukushangaa
Achana nae huyo anataka kujikuta Elon MuskKumbuka kila binadamu ni chizi Kwa namna yake.
Anyway Wacha mchezo wa Maisha uendelee
Hamna kuunganisha huu ukweli llazima usemwe kwamba hamjielewi
Sisi masikini, kelele za Simba na Yanga, kunywa Gongo, kuvuta sigara na sex ndio starehe zetu. Mtu kama mimi kipato changu 7,000 kwa siku nitaweza kumudu starehe ipi nyingine zaidi ya Yanga na Simba??Japo huwa mechi hizi zinasindikiza beer zangu ila ushabiki wa simba na yanga una uhusiano na shida ya akili na umasikini kama unabisha pita vijiwe vyote vya watu duni utakuta wanabishana simba na yanga
Nimechunguza mashabiki wa hizi timu Simba na Yanga kichwani kama zimepungua Fulani hivi na wamepigwa na maisha sio poa.
Mfano Yanga ilipoingia fainali kwenye kombe la shirikisho Kuna jamaa alijirusha barabarani akakanyagwa na gari ubongo nje alaacha familia na watoto watatu wakiteseka kwenye umasikini wa Hali ya juu mkewe Sasa hivi anafanya kazi ambazo si rafiki Ili apate pesa ya kulea watoto.
Nadhani mmeona ujinga wa KUSHABIKIA Simba na Yanga na huyu ni mfano tu
Yes, it is.Hii mada ina ukweli Kwa asilimia 95
Mkuu, jamaa zako wa Simba na Yanga wamevunja viti ya stadium tayari huko hahahahaaa..Nimechunguza mashabiki wa hizi timu Simba na Yanga kichwani kama zimepungua Fulani hivi na wamepigwa na maisha sio poa.
Mfano Yanga ilipoingia fainali kwenye kombe la shirikisho Kuna jamaa alijirusha barabarani akakanyagwa na gari ubongo nje alaacha familia na watoto watatu wakiteseka kwenye umasikini wa Hali ya juu mkewe Sasa hivi anafanya kazi ambazo si rafiki Ili apate pesa ya kulea watoto.
Nadhani mmeona ujinga wa KUSHABIKIA Simba na Yanga na huyu ni mfano tu
Tafuta kazi ya kufanyaMe wakati niko sekondari nlikuwa winga tereza namwaga maji kama Mutambala sikua najua machoko ila nlivyokuwa nimejua mpira na machoko ni vitu viwili tofauti.. wao wanaona mikundu Yao ina thamani, Sisi watu wa boli tunaona nyeupe ina thamani...Nan amiliki nyeupe ajidai, wap mikundu wameweka Bondi leader wahuni wa Turin , hahahahahaha
Wamevunja viti uwanjani mkuu. Ulisikia??..Nimechunguza mashabiki wa hizi timu Simba na Yanga kichwani kama zimepungua Fulani hivi na wamepigwa na maisha sio poa.
Mfano Yanga ilipoingia fainali kwenye kombe la shirikisho Kuna jamaa alijirusha barabarani akakanyagwa na gari ubongo nje alaacha familia na watoto watatu wakiteseka kwenye umasikini wa Hali ya juu mkewe Sasa hivi anafanya kazi ambazo si rafiki Ili apate pesa ya kulea watoto.
Nadhani mmeona ujinga wa KUSHABIKIA Simba na Yanga na huyu ni mfano tu
Nimesikia ndio maana nikasema hao watu akili hawanaWamevunja viti uwanjani mkuu. Ulisikia??..
Nimekwisha sema hizo timu ni za wajinga tuMkuu, jamaa zako wa Simba na Yanga wamevunja viti ya stadium tayari huko hahahahaaa..
Kwahiyo we choka mbaya unaamini kabisa mo shabiki wa simba aisee naona waga unajifananisha nae kabisa wajinga hawaishi 🤣🤣🤣🤣Mentality ya kimasikini ni kudhani kushabikia timu za nje ndio ujanja. Simba na yanga ni timu zenye mashabiki wengi sana ambao wanatoka kwenye makundi mbalimbali ya kijamii.
Kama ni research basi umefeli maana sampling yako iko biased. Umechukua kundi la hohehahe kudraw conclusion yako. Watu wanazungumzia mpira maofisini, vijiweni, daladala n.k ila. Wewe umekazana na hohehahe ambao ni sehemu tuu ya mashabiki.
Hata huko ulaya unakoona wameendelea wana ushabiki mkubwa sana kuzidi sisi huku. Eti mo sio shabiki wa simba bali ni mwekezaji tuu, inaonekana huna uelewa mkubwa na mpira wa bongo ila ni mtu anayependa kubishana tuu bila facts. Tena wewe ungekua shabiki ungekua sawa na wale makanjanja. Mungu amekuepusha na balaa, mshukuru sana 🤣🤣🤣🤣🤣
Duh! Kumbe mimi ni choka mbaya, wewe jamaa umeanza kuchanganyikiwa 🤣🤣🤣🤣. Kama unaamini mo alikua anafaidika kuidhamini simba late 90s na early 2000s basi wewe una matatizo. Kuita watu wajinga hakukufanyi uwe mwerevu.Kwahiyo we choka mbaya unaamini kabisa mo shabiki wa simba aisee naona waga unajifananisha nae kabisa wajinga hawaishi 🤣🤣🤣🤣
Wajinga ndio mliwaoDuh! Kumbe mimi ni choka mbaya, wewe jamaa umeanza kuchanganyikiwa 🤣🤣🤣🤣. Kama unaamini mo alikua anafaidika kuidhamini simba late 90s na early 2000s basi wewe una matatizo. Kuita watu wajinga hakukufanyi uwe mwerevu.