Ukishabikia Simba na Yanga lazima kichwani ziwe zimepungua na umasikini lazima uwe rafiki yako

Shida wengine hamjakulia kwenye mambo ya michezo kwa hiyo mnapoona watu wengi wanapenda kitu ambacho wewe haukijui unawaona wao hawana akili...
Washabiki wa Madrid wajaze uwanja hawana akili na masikini..
Washabiki wa Liverpool wajaze uwanja hawana akili na masikini..
Washabiki wa International Milan wakijaa Uwanjani hawana akili na masikini..
Washabiki wa Bavaria wakijaa uwanjani hawana akili na masikini..
 
Akili wewe ndio huna. Unawapangia watu starehe za kufanya?

By the way waziri mkuu Majaliwa anashabikia Simba, wewe na yeye nani kapigwa na maisha??
Yeye ananufaika nayo tena kiuchumi.....wewe mwenzangu unapata nini zaidi ya kushinda kupayuka kwenye vibanda kama chizi?
 
Shida wengine hamjakulia kwenye mambo ya michezo kwa hiyo mnapoona watu wengi wanapenda kitu ambacho wewe haukijui unawaona wao hawana akili...
Washabiki wa Madrid wajaze uwanja hawana akili na masikini..
Washabiki wa Liverpool wajaze uwanja hawana akili na masikini..
Washabiki wa International Milan wakijaa Uwanjani hawana akili na masikini..
Washabiki wa Bavaria wakijaa uwanjani hawana akili na masikini..
Hivi unaakili timamu kweli we jamaa nimekutajia simba na yanga ni Kwa ajili ya wajinga unataja timu zinazojielewa
 
Nikiona mtu ananipigia story za simba na yanga nnamuacha Apo naenda kwangu

Wengi ni wajinga🤣🤣🤣
Imagine mtu unaenda dukani kwani unakuta kafunga.....unauliza mwenye duka yuko wapi? Unaambiwa yuko.paleee anaangalua mpira wa simba na yanga.

Kuna akili kweli hapa?
 
Akili wewe ndio huna. Unawapangia watu starehe za kufanya?

By the way waziri mkuu Majaliwa anashabikia Simba, wewe na yeye nani kapigwa na maisha??
We Kweli kambaku majaliwa mwenzio ananufaika na mamilioni ya pesa ndio maana unamuona anajifanya anashabikia na hapo ni maigizo anafanya Ili wajinga kama wewe mumuone ni mwenzenu huku yeye akiendelea kula asali taratibu
 
Bado hawajajua hii kitu.

Watakuja kutambua umri umeenda wameshapoteza muda sana na mali.
 
Nimechunguza mashabiki wa hizi timu Simba na Yanga kichwani kama zimepungua Fulani hivi na wamepigwa na maisha sio poa.

Mfano Yanga ilipoingia fainali kwenye kombe la shirikisho Kuna jamaa alijirusha barabarani akakanyagwa na gari ubongo nje alaacha familia na watoto watatu wakiteseka kwenye umasikini wa Hali ya juu mkewe Sasa hivi anafanya kazi ambazo si rafiki Ili apate pesa ya kulea watoto.

Nadhani mmeona ujinga wa KUSHABIKIA Simba na Yanga na huyu ni mfano tu
Ni kweli kabisa, ebu angalia maisha yao kwanza....yaani choka ile mbaya. Halafu wanavyonuka mikundu, makwapa na mdomo ni balaa, eti mtu anakwambia haogi mpaka Yanga ama Simba anaungwa.
 
Nimechunguza mashabiki wa hizi timu Simba na Yanga kichwani kama zimepungua Fulani hivi na wamepigwa na maisha sio poa.

Mfano Yanga ilipoingia fainali kwenye kombe la shirikisho Kuna jamaa alijirusha barabarani akakanyagwa na gari ubongo nje alaacha familia na watoto watatu wakiteseka kwenye umasikini wa Hali ya juu mkewe Sasa hivi anafanya kazi ambazo si rafiki Ili apate pesa ya kulea watoto.

Nadhani mmeona ujinga wa KUSHABIKIA Simba na Yanga na huyu ni mfano tu
Mzee wangu utakuwa na afya ya akili.

Tatizo bado unapiga nyeto
Malaya wapo wengi mkuu.

Miaka ya nyuma nilikuwa sishabikii mpira zaidi ya ngumi lakini Sasa nashabikia Na life inaenda.
 
Nilishasema lazima uwe chizi ukishabikia hizo timu na hapa umeshathibitisha akili zako zimepungua Siwezi kukushangaa
 
Mwanaume.unayejielewa kabisa unakaa unaangalia simba na yanga na kesho unaenda kubishana kijiweni?
Nakumbuka mimi kipindi hiko nashabikia hizo timu nilikua sipitwi na mechi, asubuhi lazima niende kusoma magazeti baadae kijiweni kusikiliza mabishano yaani ni addiction ya kipumbavu sana
 
Bora wewe umekiri ukweli.

Washtue na wenzako wanapotea
 
Back
Top Bottom