Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Sahihi kabisaHii mada ina ukweli Kwa asilimia 95
Simba na yanga imebaki kuwa burudani za Watu Broke.Nimechunguza mashabiki wa hizi timu Simba na Yanga kichwani kama zimepungua Fulani hivi na wamepigwa na maisha sio poa.
Mfano Yanga ilipoingia fainali kwenye kombe la shirikisho Kuna jamaa alijirusha barabarani akakanyagwa ubongo nje alaacha familia na watoto watatu wakiteseka kwenye umasikini wa Hali ya juu mkewe Sasa hivi anafanya kazi ambazo si rafiki Ili apate pesa ya kulea watoto.
Nadhani mmeona ujinga wa KUSHABIKIA Simba na Yanga na huyu ni mfano tu
Maudhui tofautiz acha kulazimisha moderatorUle uzi wako wa mwazo ulifutwa au umeona haujatosha kudhihirsha ulimbukeni wako? Moderator Onganisha na ule uzi wake wa asubuhi
Hakika....ukiona tajiri anashabikia ni kwa vile tu yeye ni mnufaika, anatarika moja kwa mojaHii mada ina ukweli Kwa asilimia 95
Hawaelewi sababu kichwani emptyHakika....ukiona tajiri anashabikia ni kwa vile tu yeye ni mnufaika, anatarika moja kwa moja
Anakimbia ukweli huyoMaudhui tofautiz acha kulazimisha moderator
Mwanaume.unayejielewa kabisa unakaa unaangalia simba na yanga na kesho unaenda kubishana kijiweni?Sio lazima tufanane ndio maana Kuna majukwaa tofauti. Kuna wengine wanapenda movie, muziki, umbeya, siasa ni machaguzi yao kwa hiyo usilazimishe mtazamo wako uee wa wote
Hakuna mwanaume anaejielewa anafatilia watu wengine hiyo ni tabia ya wamamaMwanaume.unayejielewa kabisa unakaa unaangalia simba na yanga na kesho unaenda kubishana kijiweni?
Kweli kabisa kwakua nilishasema ukishabikia hizi timu lazima kichwani ziwe zimepungua hivyo sikushangaiSio lazima tufanane ndio maana Kuna majukwaa tofauti. Kuna wengine wanapenda movie, muziki, umbeya, siasa ni machaguzi yao kwa hiyo usilazimishe mtazamo wako uee wa wote
Nilishasema kwamba ukishabikia simba na yanga lazima kidogo kichwani uwe hamnazo hivyo sikushangaiAkili wewe ndio huna. Unawapangia watu starehe za kufanya?
By the way waziri mkuu Majaliwa anashabikia Simba, wewe na yeye nani kapigwa na maisha??
Halafu umasikini ndio umetega kwaoNikiona mtu ananipigia story za simba na yanga nnamuacha Apo naenda kwangu
Wengi ni wajinga🤣🤣🤣