Ukishabikia Simba na Yanga lazima kichwani ziwe zimepungua na umasikini lazima uwe rafiki yako

Nilishasema lazima uwe chizi ukishabikia hizo timu na hapa umeshathibitisha akili zako zimepungua Siwezi kukushangaa
Kumbuka kila binadamu ni chizi Kwa namna yake.
Anyway Wacha mchezo wa Maisha uendelee
 
Japo huwa mechi hizi zinasindikiza beer zangu ila ushabiki wa simba na yanga una uhusiano na shida ya akili na umasikini kama unabisha pita vijiwe vyote vya watu duni utakuta wanabishana simba na yanga
 
Sisi masikini, kelele za Simba na Yanga, kunywa Gongo, kuvuta sigara na sex ndio starehe zetu. Mtu kama mimi kipato changu 7,000 kwa siku nitaweza kumudu starehe ipi nyingine zaidi ya Yanga na Simba??
Introvert Gunner
 
Hii mada ina ukweli Kwa asilimia 95
Yes, it is.
 
Mkuu, jamaa zako wa Simba na Yanga wamevunja viti ya stadium tayari huko hahahahaaa..
 
Bora huyo,
Sasa Kuna wale wanaozimia uwanjani eti kisa Yanga au Simba imefungwa!

Mtu wa haina hii hawezi kuwa na afya timamu ya akili...hapa tutabishana hadi kesho..

Wakili mwambukusi aliwahi kuliongelea jambo hili kwa maneno haya.

"Kuna utaahira fulani unaoendelea kwenye nchi hii ambao umeshakuwa institutionalised"
 
Me wakati niko sekondari nlikuwa winga tereza namwaga maji kama Mutambala sikua najua machoko ila nlivyokuwa nimejua mpira na machoko ni vitu viwili tofauti.. wao wanaona mikundu Yao ina thamani, Sisi watu wa boli tunaona nyeupe ina thamani...Nan amiliki nyeupe ajidai, wap mikundu wameweka Bondi leader wahuni wa Turin , hahahahahaha
 
Tafuta kazi ya kufanya
 
Wamevunja viti uwanjani mkuu. Ulisikia??..
 
Mentality ya kimasikini ni kudhani kushabikia timu za nje ndio ujanja. Simba na yanga ni timu zenye mashabiki wengi sana ambao wanatoka kwenye makundi mbalimbali ya kijamii.

Kama ni research basi umefeli maana sampling yako iko biased. Umechukua kundi la hohehahe kudraw conclusion yako. Watu wanazungumzia mpira maofisini, vijiweni, daladala n.k ila. Wewe umekazana na hohehahe ambao ni sehemu tuu ya mashabiki.

Hata huko ulaya unakoona wameendelea wana ushabiki mkubwa sana kuzidi sisi huku. Eti mo sio shabiki wa simba bali ni mwekezaji tuu, inaonekana huna uelewa mkubwa na mpira wa bongo ila ni mtu anayependa kubishana tuu bila facts. Tena wewe ungekua shabiki ungekua sawa na wale makanjanja. Mungu amekuepusha na balaa, mshukuru sana 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwahiyo we choka mbaya unaamini kabisa mo shabiki wa simba aisee naona waga unajifananisha nae kabisa wajinga hawaishi 🤣🤣🤣🤣
 
Kwahiyo we choka mbaya unaamini kabisa mo shabiki wa simba aisee naona waga unajifananisha nae kabisa wajinga hawaishi 🤣🤣🤣🤣
Duh! Kumbe mimi ni choka mbaya, wewe jamaa umeanza kuchanganyikiwa 🤣🤣🤣🤣. Kama unaamini mo alikua anafaidika kuidhamini simba late 90s na early 2000s basi wewe una matatizo. Kuita watu wajinga hakukufanyi uwe mwerevu.
 
Wajinga ndio mliwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…