Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

Nikifika hiyo age ntakuwa naenda live band au najijengea bar yangu napiga nyimbo za Fally na Fere gola na baba yao koffi
Ile miziki km huna hela huwezi kuielewa mazee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivi kumbe bado dogo dogo eh?
Unazidi kumkosha chino tu haha!
 
Ili mradi simu ni ya kwako na bundle la kwako hatuwezi kukuamria cha kuandika, lakini ukweli ni kwamba umri wa miaka 35+ hujui lolote kuhusu maisha! Maisha ni uwanja mpana sana! Kuanzia 55+ ndo mtu wa kuongea akasikilizwa!
 
Ni Bongo tu ndiko ambapo jamii inalazimisha watu starehe kwa sababu ya umri.
 
Maisha ni muziki kila mtu anacheza kivyake!
 
Ukiwa na Roho mtakatifu ndani yako hakuna umri wakufanya starehe Dunia hii wewe ni mavumbi tu tafuta kuurithi uzima wa milele kila dhambi unayoifanya bila kutubu inanukuliwa siku ya hukumu utastaajabu sana

Ila ukiwa na Roho Mtakatifu ndani yako Mungu anakukumbusha dhambi zako ili utubu hii ndio tofauti ya watu waliokoka na watu wanaoendelea kuyapenda mambo ya kidunia
 
ukiwa around 20 to 30 unajina bado mdogo na unaona mtu wa 40 ni mzeee,ajabu ukifika umri huo na ukute ramani zako bado hazijasomeka vyema unajiona bado mdoooogooo ,mbaya zaid ukiangalia waafrika wengi wanaanza kufanikiwa maisha umri huo wa 35 na kuendelea,,kuna vitu havielewek dunia hii tukatae tukubali
 
Mada hii iwe pinned pale juu ili iwe mwongozo kwa wazee wa hovyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…