Watafutie dawa Kali kuizidi yao afu wewe ndo uwafanye makondoo sasaSalaam,
Ukiwa mwanaume mwenye lengo la kuanzisha familia na mwanamke uliemchagua, kisha ukajua shemeji yako mtarajiwa wa kike na mamamkwe wanafanya HILA ili ukishampata mwanawao wakuteke uwe KONDOO WAO.
Kuwafanyia kila watakalolitaka ulifanye bila kujali uwezo wako au mtazamo wako.
Katika HILA zao mkeo mtarajiwa hajui chochote wala hajashirikishwa kwa namna yeyote.
Anakupenda kwa dhati na wewe unampenda.
Utafanyeje???
(This is happening now)
Hii ndo yenyeweWatafutie dawa Kali kuizidi yao afu wewe ndo uwafanye makondoo sasa
Unawafahau wao wanaologa familia yako ?Mimi naombeni anaye Jua Mtaalamu wa akuniondolea Wachawi wa wili wa familia wana uwa watu kwenye familia yangu na kuwafanya watu vichaa kila.uchwao
Naitaji mganga mwenye uwezo aniondolee kabisa hawa watu
Kawashtaki PembaMimi naombeni anaye Jua Mtaalamu wa akuniondolea Wachawi wa wili wa familia wana uwa watu kwenye familia yangu na kuwafanya watu vichaa kila.uchwao
Naitaji mganga mwenye uwezo aniondolee kabisa hawa watu
Mkabidhi Yesu Kristo Fadhaa zako zote, naye atakuondolea....Mimi naombeni anaye Jua Mtaalamu wa akuniondolea Wachawi wa wili wa familia wana uwa watu kwenye familia yangu na kuwafanya watu vichaa kila.uchwao
Naitaji mganga mwenye uwezo aniondolee kabisa hawa watu
Kauli ya kivulana Sana hiiKwani kondoo mwenyewe anasemaje?
Sio kivulana tu but also ya kimamaKauli ya kivulana Sana hii