Ukishajua hila zao, utafanya nini?

Ukishajua hila zao, utafanya nini?

livewise1

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
837
Reaction score
967
Salaam,

Ukiwa mwanaume mwenye lengo la kuanzisha familia na mwanamke uliemchagua, kisha ukajua shemeji yako mtarajiwa wa kike na mamamkwe wanafanya hila ili ukishampata mwanawao wakuteke uwe KONDOO WAO.

Kuwafanyia kila watakalolitaka ulifanye bila kujali uwezo wako au mtazamo wako. Katika HILA zao mkeo mtarajiwa hajui chochote wala hajashirikishwa kwa namna yeyote. Anakupenda kwa dhati na wewe unampenda.

Utafanyeje?

(This is happening now)
 
Salaam,

Ukiwa mwanaume mwenye lengo la kuanzisha familia na mwanamke uliemchagua, kisha ukajua shemeji yako mtarajiwa wa kike na mamamkwe wanafanya HILA ili ukishampata mwanawao wakuteke uwe KONDOO WAO.
Kuwafanyia kila watakalolitaka ulifanye bila kujali uwezo wako au mtazamo wako.
Katika HILA zao mkeo mtarajiwa hajui chochote wala hajashirikishwa kwa namna yeyote.
Anakupenda kwa dhati na wewe unampenda.
Utafanyeje???
(This is happening now)
Watafutie dawa Kali kuizidi yao afu wewe ndo uwafanye makondoo sasa
 
Mimi naombeni anaye Jua Mtaalamu wa akuniondolea Wachawi wa wili wa familia wana uwa watu kwenye familia yangu na kuwafanya watu vichaa kila.uchwao

Naitaji mganga mwenye uwezo aniondolee kabisa hawa watu
 
Ukitaka kuruka agana na nyonga.. Na dalili ya mvua sio mwanvuli.
 
Mimi naombeni anaye Jua Mtaalamu wa akuniondolea Wachawi wa wili wa familia wana uwa watu kwenye familia yangu na kuwafanya watu vichaa kila.uchwao

Naitaji mganga mwenye uwezo aniondolee kabisa hawa watu
Unawafahau wao wanaologa familia yako ?
 
Mimi naombeni anaye Jua Mtaalamu wa akuniondolea Wachawi wa wili wa familia wana uwa watu kwenye familia yangu na kuwafanya watu vichaa kila.uchwao

Naitaji mganga mwenye uwezo aniondolee kabisa hawa watu
Kawashtaki Pemba
 
Wambie ukwel kuwa umeisha washtukia. Alaf wachape na mkwala wakijaribu tu kufanya huo upuuzi wao wajue watampoteza binti yao
 
Wewe umejuaje mkuu, nani kakwambia hiyo siri yao, au na wewe umeenda kwa mtalaamu ??

Ebu tuanzie hapa kwanza. Nitarudi nikipata jibu lako!
 
Back
Top Bottom