livewise1
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 837
- 967
Salaam,
Ukiwa mwanaume mwenye lengo la kuanzisha familia na mwanamke uliemchagua, kisha ukajua shemeji yako mtarajiwa wa kike na mamamkwe wanafanya hila ili ukishampata mwanawao wakuteke uwe KONDOO WAO.
Kuwafanyia kila watakalolitaka ulifanye bila kujali uwezo wako au mtazamo wako. Katika HILA zao mkeo mtarajiwa hajui chochote wala hajashirikishwa kwa namna yeyote. Anakupenda kwa dhati na wewe unampenda.
Utafanyeje?
(This is happening now)