Atajuaje kama hiyo dawa ni kali kuzidi wao mkuu?! I mean je kama watafanikiwa wao?! Wakamuwahi jamaa maana pia hilo suala linaendana na imani yake jamaa kama haikubali manake itakuwa ishuWatafutie dawa Kali kuizidi yao afu wewe ndo uwafanye makondoo sasa
Leo napita tu.Toa hata ushauri kama unao.
Akiwaambia amewashtukia kama wao ni sikio la kufa si wataendelea na hatimaye watamuumiza. Maana kwa uchunguzi aloufanya jamaa anasema set up alowekewa inatakiwa ategue sio kujaribu jaribu. Seem wapo very serious.Waambie kuwa umewashtukia njama yao, watakuwa wapole kama mbwa koko.
Kwa maelezo ya jamaa anasema anahitaji kufanya jambo...kusema haitoshi, anahisi wana plan B...ukizingatia binti hana ajuacho na amependana nae kidhati.Wambie ukwel kuwa umeisha washtukia. Alaf wachape na mkwala wakijaribu tu kufanya huo upuuzi wao wajue watampoteza binti yao
Kwa mujibu wa maelezo yake, anasema alitonywa na ndugu mmojawapo akaanza uchunguzi rasmi, akafanikiwa kupata mawasiliano ya anaowatuhumu...pili akaoneshwa mmama anaewasukia plan ni jirani yao...akajiridhisha anavyojua yeye. Etc.Wewe umejuaje mkuu, nani kakwambia hiyo siri yao, au na wewe umeenda kwa mtalaamu ??
Ebu tuanzie hapa kwanza. Nitarudi nikipata jibu lako!
Amwambie binti ili ajue sasa mchezo wa ndugu zake na ikiwezekana wahame hapo kabsaa bila ata kuwatarifuKwa maelezo ya jamaa anasema anahitaji kufanya jambo...kusema haitoshi, anahisi wana plan B...ukizingatia binti hana ajuacho na amependana nae kidhati.
Ikiwezekana mama mkwe awe anakufulia boxa kabisaWatafutie dawa Kali kuizidi yao afu wewe ndo uwafanye makondoo sasa
Oky, aisee! Piga chini.Kwa mujibu wa maelezo yake, anasema alitonywa na ndugu mmojawapo akaanza uchunguzi rasmi, akafanikiwa kupata mawasiliano ya anaowatuhumu...pili akaoneshwa mmama anaewasukia plan ni jirani yao...akajiridhisha anavyojua yeye. Etc.
Mkuu hii ishu jamaa jana jioni kamwita bidada kamweleza kila kitu na kumuonesha baadhi ya uthibitisho. Binti amelia sana usiku kwa mujibu wa maelezo ya jamaa...akarudi kwao.Baada ya kujua hayo umemshirikisha mkeo,kwani na yeye anasemaje?