Wewe huitaji tume huru? Maana ndicho Askofu Bagonza alichosema na gazeti likaandika. Siasa za Fatma Karume alikuwa anazifanyia kwenye platfoam ipi? Sisi tunavyojua Shangazi ni mkosoaji asiye pepesa macho. Tatizo mnataka watanzania wote tuwe Kama kamanda Shana,Lusinde,Bashite,Msukuma,Kangi Lugola au Kama Pole pole. Hiii nchi ni zaidi ya Yesu wa CCM Kuna vitukuu vinakuja kuishi hapa hapa Tanzania,Sasa kila kiongozi akiamka anafanya analotaka itakuwaje? Miongoni mwa mambo wanayohoji wakosoaji nije sheria ya manunuzi ilizingatia kwenye ununuzi wa hizo ndege? Wabunge Kama wawakilishi wetu walipitisha budget? Yaani wenye kampuni wanaenda Ikulu kuongea na rais halafu rais anamwambia mtoto wa dada yake aliyeko hazina atoe pesa mchakato mzima wa hela ya watanzania unahusisha watu wawili tu mtu na mpwa wake. Au nikuulize jamaa yangu uwanja wa chato ume jengwa kwa budget ipi? Mkandarasi alipatikana ki kisheria kwa kushindanishwa na kampuni ipi? Tukiruhusu haya mambo yanaacha precedent mbaya,kiongozi ajaye hawezi kuona tabu kufanya madudu zaidi ya haya. Kwa kumalizia tu nikuulize swali mtoa mada,Mnyeti alitoa wapi pesa za kuwahonga wale madiwani wa Arumeru? Au alitoa kwenye mshahara wake? CAG prof Assad alisema til 1.5 haionekani ilipo unajua wazi kilichompata.
Nimesoma comment yko inayotaka majibu, nami nitakujibu bila kuingilia uhuru wa mawazo yako.
Katika majibu yangu baadhi ya maswali yako nitakujibu kwa kukuuliza maswali kwa maana yakwamba ukinijibu utakuwa umenisaidia kujibu swali lako, na hii sijaanza mimi kutumia njia hii yakujibu maswali.
Hata yesu aliwahi kujibu kwa stahili hii km utakuwa mkristo na msoma biblia au msikilizaji makini.
Umeuliza 1.5 tillion CAG hakuziona na ukasema kunakilichomkuta.
Unaposema uwanja wa chato ulijengwa bila kushindanishwa na 1.5til zilitumika kimakosa sio kweli, tatizo nikutokujua mamraka aliyo nayo Rais wa nchi,
.iko hivi Rais wa nchi ndio mtaftaji na msimamizi mkubwa wa fedha zte, nikweli matumizi yanatakiwa yapitishwe na bunge lakini haimfungi mikono Rais kuchukua uamuzi wwte kwa manufaa ya taifa.
CAG hakuona 1.5 til lakini aliona uwanja wa chato ukijengwa nadhani angekuja na hoja kama uwanja huo hauna thamani hiyo, kwahiyo pr.asadi aliye mponza ni zitto z. Kabwe kuingiza siasa za udini ktk kazi mpaka kufikia hatua yakusema katekwa. Naile drama serikali ilikuwa ikijua mchezo wote.
Nataka nikuulize kipindi cha tawala zilizopita unijibu.
Je! Mradi wa mvua yakutengeneza ambao mh. E .lowassa alileta watathimini wa athari za mradi ule nawakachukua zaidi ya 1til. Ulipitishwa na nani? Je jakaya hakuujua?
Je. Mradi kuchimba dhahabu kule buhemba ambako kampuni ya melemeta toka africa kusini ambako walikula dhahabu na kuacha mashimo je ulipitishwa na nani? Je mh.Benjamini mkapa alikuwa haujui?
Je mradi wa syimbion power na baadae IPTL yaliyokuwa yakifanyika uliomtoa Lowassa jakaya alikuwa hajui kilichokuwa kikienderea?
Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ambayo nchi tulitaka tupigwe km kipindi cha madini kusaini miaka 100 yte hayo mikataba hiyo iliandaliwa na nani? Asingekuwa magufuri huoni tulikuwa tunalizwa tena?
Nikomee hapo nanikuulize swali dogo. Eti unamjua mwenye vituo vya mafuta vya petroafrica na Lake oil? Unajua vituo hivi na vitu vingine vimejengwa kwa pesa ipi? Na mmiliki wake unamjua?
Uwanja wa chato unamnufaisha magufuri na familia yake km miradi michache niliyoieleza inavyonufaisha baadhi yawatu wachache?
Wanao hoji 1.5 til na huku wakiona huo uwanja wako sawa? Au huo uwanja hauna thamani hiyo?
Ifike sehemu watu wajue power aliyonayo Rais wa nchi ndio maana hata jaji akikuhukumu kifo huwezinyongwa bila rais kusaini.
Asadi hakuongezewa mda wa utumishi na aliyemchagua hivi shida ikowapi? Au pr asadi alifanya interview akashinda nafasi hiyo?
Huyu huyu pr. Asadi ndiye aliyelisema bunge latanzania ni legelege! Kwanini akasemee huko?
Pr. Asadi huyuhuyu ndiye aliyekuwa akibariki wizi wa fedha ktk baadhi ya barozi zetu huko adis ababa km sikosei kwa kutoa hati safi wakati kuna ufisadi wa khari yajuu.
Mungu nae ni mungu! Mwaka huu hakuna hija huko saudia kwahiyo kama pr. assadi alikuwa ameshaanza kukusanya fedha za watu aanze kurudisha.
Jpm ameleta ndege bila kusubili bunge leo ndege hizihizi ndio zimesaidia watanzania wenzetu kuwarudisha nyumbani nakuijengea nchi heshima. Nazo mbona hawaulizi?
Huyu fatma karume, Tundu lisu, zitto kabwe, na genge lao lawatanzania waliopo ndani na nje ya nchi hawatafanikiwa kumuangusha rais jpm maana kazi zake zinaonekana.