Pelle mza
JF-Expert Member
- May 15, 2008
- 3,050
- 1,694
Jikite kwenye hoja!Umepata muda wa kufikiri kabla hujaandika na kupost?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jikite kwenye hoja!Umepata muda wa kufikiri kabla hujaandika na kupost?
Eli huyuhuyu wa kwenye Bible Samweli,namwona na Kaka Yetu huyu Manjaa anaelekea kibra kabisa siku hizi.Eti ndo anazeeka vizuri!Duh!
shangazi kaibua mijadala mikali yenye tija kwa nchi hakika kujiengua kwake ni janga la kitaifa if you think in the bigger picture! akistaafu miungu watu watapumua!! mf mada ya kurekebisha sheria ya uchaguzi na kuwatupilia mbali wakurugenzi kusimamia uchaguzi!!Kuacha kwake UWAKILI kunaathiri nini Maisha yake au Maisha yangu mkulima?
#Aendelee kutafuna koni.
#Amsalimu KIGWA.
Paskali ni Mzee, makini, mwenye busara and walks very very careful kwenye njia ya reli!.
Sure...ila Pasco mbona Kuna vijana "wazalendo" wanaojenga hoja na huo ujana wao kabla ya kugrow old Kama wewe,kipindi Cha nyuma vijana hao walikuwa wanakupinga na pengine tunakupinga ktka baadhi ya Mambo,Sasa hebu nifafanulie credibility ya umri imekaaje hapo...Why and how?!.
Mimi najiona as I grow old, nabadilika na kuwa Mzalendo zaidi, wiser and see things in much broader sense. It's very unfortunately sio wengi humu sees what I see, hivyo ni kawaida.
Watu walimziea Pasco wa jf, kijana mjenga hoja shupavu asiyeogopa kitu wala mtu, lakini Paskali ni Mzee, makini, mwenye busara and walks very very careful kwenye njia ya reli!.
P