Ukishawagawa watu hutoweza kuwaongoza

Msiwabomolee nyumba walinipigia kura ni nani alisema hayo, je huko sio kuligawa Taifa?. Wakati wenu umekwisha mwacheni Rais afanyekazi ya kuliunganisha Taifa. Kazi iendelee.
Mkichagua wapinzani hamtapata maendeleo.
 
Hakuna mtanzania aliyekasirika kwa kuzodolewa jiwe. Labda makada waliokuwa wanafaidika na udikiteta wake.
 
Mimi nasema Jiwe alipendwa sana na watu masikini na wasio jielewa, so usitake kusema Watz wengi hawajielewi japo kumtukana mtu siungi mkono
 

Ila usisahau jiwe ali-m-spare JK kinafiki nafiki tu:

1. Mkataba wa Bagamoyo hata mwenda wazimu asingeweza kuusaini.
2. Nchi kila kitu kilikuwa hewa.
3. Kila kitu kilikuwa hovyo.

Hizo zilikuwa kauli za jiwe mwenyewe dhidi ya JK.

Bwana Hapi hakuishiwa kauli kama hizo dhidi ya JK.
 
Kati ya watu wanaochukiwa sana (na watu wenye akili lakini) ni Jiwe
 
Acha uhuni...Rais ni mtu ambaye yupo well informed kuliko mtu yeyote yule ana vyombo ambavyo vinampelekea taarifa usiku na mchana kwahiyo anapofanya maamuzi ya watu anaowahitaji kufanya nao kazi anajua anachokifanya tuache kumpangia. Yawezekana hao waliowekwa benchi ni wachapakazi wazuri lakini sio katika aina ya uongozi ambao yeye Rais anautaka na kama ataona kuna sababu ya kuwa nao kwenye safu yake anaweza kuwarudisha. ACHA UZANDIKI.
 
Mimi nasema Jiwe alipendwa sana na watu masikini na wasio jielewa, so usitake kusema Watz wengi hawajielewi japo kumtukana mtu siungi mkono
Yaan watu masikin walimpenda jiwe
 
Ugaidi ni ishu kubwa sana, hata akimfutia mashitaka bado ataonekana kumbe alikuwa mzushi, alikosea sana kujiingiza kwenye huo ujinga
Kina Kingai walimdanganya sana
 
Sio vyote umeandika vinanigusa mkuu ila ,nakubali kabisa wakati ameingia madarakani tulimkubali tokana na kauli zake za kwanza, binafsi mbele yaMungu iam chadema, ila nilimpenda Sana by the time tokana na kauli zake,

Ila kilanga changu kilikoma ghafla, CCM Hualibu vibaji sana
 
Huwezi kutumia watu walewale kutatua tatizo mlilolitengeneza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…