Ukishawagawa watu hutoweza kuwaongoza

Ukishawagawa watu hutoweza kuwaongoza

Msiwabomolee nyumba walinipigia kura ni nani alisema hayo, je huko sio kuligawa Taifa?. Wakati wenu umekwisha mwacheni Rais afanyekazi ya kuliunganisha Taifa. Kazi iendelee.
Mkichagua wapinzani hamtapata maendeleo.
 
Mtoa mada upo sahihi kabisa.
Kitendo cha kuacha baadhi ya Wabunge tena wa CCM kumdhihaki JPM bila kuwakemea kumezidisha hasira kwa Watanzania wengi sana.
Ikumbukwe kuwa, JPM alipendwa sana na Wananchi kutokana na kuwajali sana Wanyonge, kusimamia kwa nguvu zote utekelezaji wa miradi mbalimbali, ambayo kwa hakika ina manufaa kwa Wananchi.
Mambo mema aliyoyafanya JPM yanaonekana, na kila Mtanzania anayaona, hivyo JPM atakumbukwa milele kutona na hayo.
Kwa hiyo, ukijaribu tu kumdhihaki JPM, ujue unawadhihaki Watanzania wote wenye mapenzi mema na JPM, na wanaompenda JPM ni wengi mno kuliko mtu anavyofikiri.
Kabla hujafikiri kumdhihaki JPM, fikiri kwanza athari zake.
Hakuna mtanzania aliyekasirika kwa kuzodolewa jiwe. Labda makada waliokuwa wanafaidika na udikiteta wake.
 
Mtoa mada upo sahihi kabisa.
Kitendo cha kuacha baadhi ya Wabunge tena wa CCM kumdhihaki JPM bila kuwakemea kumezidisha hasira kwa Watanzania wengi sana.
Ikumbukwe kuwa, JPM alipendwa sana na Wananchi kutokana na kuwajali sana Wanyonge, kusimamia kwa nguvu zote utekelezaji wa miradi mbalimbali, ambayo kwa hakika ina manufaa kwa Wananchi.
Mambo mema aliyoyafanya JPM yanaonekana, na kila Mtanzania anayaona, hivyo JPM atakumbukwa milele kutona na hayo.
Kwa hiyo, ukijaribu tu kumdhihaki JPM, ujue unawadhihaki Watanzania wote wenye mapenzi mema na JPM, na wanaompenda JPM ni wengi mno kuliko mtu anavyofikiri.
Kabla hujafikiri kumdhihaki JPM, fikiri kwanza athari zake.
Mimi nasema Jiwe alipendwa sana na watu masikini na wasio jielewa, so usitake kusema Watz wengi hawajielewi japo kumtukana mtu siungi mkono
 
Ukisha wagawa watu hutoweza kuwaongoza. Samia ashafeli mapema hatofanikiwa kwa kiwango kikubwa.

Samia alipopata madaraka ukweli watanzania wengi walikuwa wanampenda Sana, si CCM, si Chadema Wala ACT wote walikuwa na matumaini makubwa. Samia hotuba zake za kwanza zilikuwa na matumaini, zilikuwa zinaunganisha taifa yaani ilikuwa raha kumsikiliza. Badae Samia alibadilika na kuanza kugawa watu.

1. Samia alianza kubagua, kuwadharau na vijembe kwa watu waliokuwa kwenye serikali ya Magufuli (mnawaita Sukuma gang) akamtoa Bashiru, akamtoa Kakoko, Akamtoa Chamliho, akamtoa kalemani, akamtoa AG, sio vibaya kufanya mabadiliko Ila mabadiliko hayo yameleta minongono, na kuonyesha kuwa Samia alkuwa hakubaliani na JPM. Hii iliongeza chuki kwa watu mnaowaita Sukuma gang

2. Kuacha watu wamdhiaki Magufuli,, hii haikuwa poa, Magufuli alikemea waziwazi watu waliokuwa wanawatukana Mkapa na Kikwete, unaweza angalia video ya JPM Ile siku aliyokutana na John Thornton Chairman wa Barric Gold,alikemea waziwazi kwa watu wanaowatukana JK na BWK. Kupitia ili watu waliokuwa wanamuunga mkono JPM wamemchukia Samia.

3. Kesi ya Mbowe ndo funga kazi, Chadema walionekana kumuunga mkono Samia, mpaka Mbowe akaomba kuonana nae, from no where Mbowe akapewa bogus terrorism charges, Chadema ni Chama kikubwa whatever we like or not, ukishamfunga Mbowe unapoteza uungwaji mkono wa watu wengi Sana, Chadema inawanachama wengi almost 8m, hao ni watu wengii.Now kila mwana Chadema anamchukia Samia.

4. Kufukuza machinga mijini kwa Bara uku Zanzibar wanapiga kazi vizuri.

Kwa hayo Rais SSH, kwa hayo aliyoyatenda ashawagawa watu believe me hawezi fanikiwa Tena, na picha yenyewe ashaanza kuipata kwenye ziara zake,maana zinadoda hatari, bado nafasi anayo ya kurekebisha.

Ila usisahau jiwe ali-m-spare JK kinafiki nafiki tu:

1. Mkataba wa Bagamoyo hata mwenda wazimu asingeweza kuusaini.
2. Nchi kila kitu kilikuwa hewa.
3. Kila kitu kilikuwa hovyo.

Hizo zilikuwa kauli za jiwe mwenyewe dhidi ya JK.

Bwana Hapi hakuishiwa kauli kama hizo dhidi ya JK.
 
Mi sidhani kama anawashauri wazuri wa siasa..JPM kwa kiasi kikubwa ni kiongozi amegusa maisha ya watu wengi ingawa alikuwa ni babe, kisiasa kuamua kupambana nae amepoteza wafuasi wengi sana sababu ukweli ni kwamba JK watu hawamkubali. Kipimo kizuri ni chanjo ya corona..ajiulize kwann watu hawachanji kama wanamsikiliza, so yeye suala la magufulia angetumia busara sana sababu linaweza kuwamaliza kisiasa ikitokea kuna kundi likajitenga esp watu wanaotoka kanda ya ziwa na wakawa na ushawishi, uchaguzi utakuwa mbaya sana. Ngoja tuone..tunaokaa mtaani tunajua hisia za watu. Watu hawataki tena viongozi legelege.
Kati ya watu wanaochukiwa sana (na watu wenye akili lakini) ni Jiwe
 
Acha uhuni...Rais ni mtu ambaye yupo well informed kuliko mtu yeyote yule ana vyombo ambavyo vinampelekea taarifa usiku na mchana kwahiyo anapofanya maamuzi ya watu anaowahitaji kufanya nao kazi anajua anachokifanya tuache kumpangia. Yawezekana hao waliowekwa benchi ni wachapakazi wazuri lakini sio katika aina ya uongozi ambao yeye Rais anautaka na kama ataona kuna sababu ya kuwa nao kwenye safu yake anaweza kuwarudisha. ACHA UZANDIKI.
 
Mimi nasema Jiwe alipendwa sana na watu masikini na wasio jielewa, so usitake kusema Watz wengi hawajielewi japo kumtukana mtu siungi mkono
Yaan watu masikin walimpenda jiwe
 
Ukisha wagawa watu hutoweza kuwaongoza. Samia ashafeli mapema hatofanikiwa kwa kiwango kikubwa.

Samia alipopata madaraka ukweli watanzania wengi walikuwa wanampenda Sana, si CCM, si Chadema Wala ACT wote walikuwa na matumaini makubwa. Samia hotuba zake za kwanza zilikuwa na matumaini, zilikuwa zinaunganisha taifa yaani ilikuwa raha kumsikiliza. Badae Samia alibadilika na kuanza kugawa watu.

1. Samia alianza kubagua, kuwadharau na vijembe kwa watu waliokuwa kwenye serikali ya Magufuli (mnawaita Sukuma gang) akamtoa Bashiru, akamtoa Kakoko, Akamtoa Chamliho, akamtoa kalemani, akamtoa AG, sio vibaya kufanya mabadiliko Ila mabadiliko hayo yameleta minongono, na kuonyesha kuwa Samia alkuwa hakubaliani na JPM. Hii iliongeza chuki kwa watu mnaowaita Sukuma gang

2. Kuacha watu wamdhiaki Magufuli,, hii haikuwa poa, Magufuli alikemea waziwazi watu waliokuwa wanawatukana Mkapa na Kikwete, unaweza angalia video ya JPM Ile siku aliyokutana na John Thornton Chairman wa Barric Gold,alikemea waziwazi kwa watu wanaowatukana JK na BWK. Kupitia ili watu waliokuwa wanamuunga mkono JPM wamemchukia Samia.

3. Kesi ya Mbowe ndo funga kazi, Chadema walionekana kumuunga mkono Samia, mpaka Mbowe akaomba kuonana nae, from no where Mbowe akapewa bogus terrorism charges, Chadema ni Chama kikubwa whatever we like or not, ukishamfunga Mbowe unapoteza uungwaji mkono wa watu wengi Sana, Chadema inawanachama wengi almost 8m, hao ni watu wengii.Now kila mwana Chadema anamchukia Samia.

4. Kufukuza machinga mijini kwa Bara uku Zanzibar wanapiga kazi vizuri.

Kwa hayo Rais SSH, kwa hayo aliyoyatenda ashawagawa watu believe me hawezi fanikiwa Tena, na picha yenyewe ashaanza kuipata kwenye ziara zake,maana zinadoda hatari, bado nafasi anayo ya kurekebisha.
Sio vyote umeandika vinanigusa mkuu ila ,nakubali kabisa wakati ameingia madarakani tulimkubali tokana na kauli zake za kwanza, binafsi mbele yaMungu iam chadema, ila nilimpenda Sana by the time tokana na kauli zake,

Ila kilanga changu kilikoma ghafla, CCM Hualibu vibaji sana
 
Huwezi kutumia watu walewale kutatua tatizo mlilolitengeneza.
 
Back
Top Bottom