Ukishazoea kushi na mwanamke ni ngumu sana kumudu maisha ya Ubachela

Ukishazoea kushi na mwanamke ni ngumu sana kumudu maisha ya Ubachela

Tatizo ni Yale mazoea ya mguu umekaa vibaya umeweka!!,baridi kidogo umeweka!!,joto kidogo umeoga umeweka!!....
Ngono ndio inachochea kukumbuka Malaya kiboya
 
si kweli hata kidogo kataa ndoa hapa watanielewa. tunza kibunda maisha ni matamu wewe tunza wanao peleka shule nzuri kwa manufaa yao acha kuwa mtumwa wa jinsia .
 
Natumia nguvu nyingi sana nisimoigie yule mwanamke ila sijui kama ntafanikiwa, Upweke ni jambo ngumu sana
Nilipitia hiyo hali, ila kwasasa imeisha kabisa na kuisahau.

USHAURI: Hauko busy enough, cha kufayana zidisha muda wa kazi, chosha sana mwili na makazi huko nje ukirudi gheto iwe ni kulala tu.

Huku ukifanya hayo Panga pisi ingine huko nje, ikikubali vuta ndani ishi nayo, usirudi nyuma kumshawishi arudi au kumtafuta kivyovyote vile UTAHARIBU ZAIDI, hawa viumbe wakishajijengea fikra na mawazo kwamba unampenda sana au hauwezi kuishi bila yeye hakuna rangi utaacha kuiona.
 
Screenshot_20240209-220924.png
 
Ni kweli ndugu yangu.
Nikikumbuka tunavyochezaga karata na kuwa na evening walk basi najihisi mkiwa napo nikasafiri tu kidogo lakini kwanzia saa kumi na mbili jion unyonge unajisogeza karibu sijui nikipigwa kibuti itakuwaje jamani.

Naombeni mnifungie 3dry mlima sayuni hizi sio akili zangu ndugu wananchi wa tizediei
 
linakulia timing tu..😀
 
kivumbi kitakapoanza mi nitaziba masikio nione watu wanavyotusuana vizazi..😅
Vızazi vilishaanza kutusuana mapema sana Adam na Eva walipofukuzwa katika bustani ya Eden.

Hallelujah
 
Back
Top Bottom