Ukishazoea kushi na mwanamke ni ngumu sana kumudu maisha ya Ubachela

Labda tunatofautiana lakini maisha ya ubachela sio magumu kihivyo labda uwe huna pakupata riziki, kama unapo unafeli wapi mdogo wangu, haya maisha muhimu mkono uwende kinywani tu, mengine ni vitu vya ziada, ukiendekeza sana mapenzi huwezi kutusua trust me
 
Limbwata haijawahi kumwacha mtu salama (alisikika muuza majeneza mmoja akiwa amekaa juu ya majeneza yake ambayo yamekosa wateja kwa muda mrefu)
 
Limbwata haijawahi kumwacha mtu salama (alisikika muuza majeneza mmoja akiwa amekaa juu ya majeneza yake ambayo yamekosa wateja kwa muda mrefu)
Upande wa pili alisikika muuza mkaa na viberiti akiinadi biashara yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…