Ukishikwa......

Ukishikwa......

[/COLOR][/SIZE]

ahhh leo bwana lunch yangu ni UGALI WA MUHOGO na nyama choma,spinach kdg na kachumbari maharage yakipatikana si mbaya sana

au nikikosa ni mwendo wa makange pale kati mwendo kamili!!

rr ule wali njegere ..sawa?

Ugali wa mihogo sijala siku nyingi....naja bibie!
 
nyamayao bana........hicho hakipo labda mmoja awe parasite na mwingine awe ***** hapo yataenda ila mkioana tu basi yanakwisha....

MAPENZI YANA RUN DUNIA

wengine tulijishtukia tumeingia kwenye game tukijua zile babie,sweet,darlie zinaendelea milele, haaa kushtuka kumbe nilikuwa naota....hahaah but wacha yawepo yatupunguze viherehere.
 
Partner nimeletwa kwenu kufikisha ujumbe na kumwaga taaluma!!Lolzz...just kidding!
Haya wote yanatuhusu...hata sie SINGLE LADIES tunaona wanaume wenye magubu wametuzunguka mpaka tunakosa raha!Siku nikijikuta niko ndani yaliyomo sijui ntayaweza au yatanishinda!!

Najua yawa faa wote but ikizingatiwa kwa wanandoa very advantageous...
 
Najua yawa faa wote but ikizingatiwa kwa wanandoa very advantageous...

True that....
Ila mwenyewe naona hunitaki huko kiviiiile maana ile lunch sijui dinner kila siku wanipiga kalenda!
 
wengine tulijishtukia tumeingia kwenye game tukijua zile babie,sweet,darlie zinaendelea milele, haaa kushtuka kumbe nilikuwa naota....hahaah but wacha yawepo yatupunguze viherehere.

We nyamayao..... mi yananibore sana hasahasa kinachoudhi unafuatilia demu for 2yrs anakubali 1 second, halafu mnakaa nae kwenye malovedavi kwa 6months mnapigana kibuti inasumbua sana akili yangu.

NAKUPENDA ILA MUDA BADO
 
........shikamana!

Baada ya jambo fulani jana nilijikuta nafikiria kuhusu watu wanavyobehave kwenye mahusiano.wengine utakuta wanaendekeza kiburi...wengine kudeka...wengine kulalamika...n.k

vyote hivi vikizidi kwakweli vinaweza kuvunja mahusiano maana inaboa/chosha...kuna mtu unakuta hata akikosea yeye samahani mwiko.hata ukimuwia mpole japo ye ndo mwenye kosa inakua bado haitoshi....yani kiburi chake ndo kinamtawala.
Wale walalamikaji nao yani utadhani ulimwengu mzima kabebeshwa yeye....kila saa kama anataka kulia..kila kitu ye ni kama anaonewa.hata akifanya kosa kulia atalia yeye ...na kubembelezwa atabembelezwa yeye.hawa wadekaji maarufu ndo kabisaaa...mtu kadri unavyombembeleza ndivyo anavyozidisha!yani utadhani mashindano...mpaka mwisho wa siku mtu unaamua kumpotezea tu!

Nnachosema ni kwamba...mapenzi sio kukomoana jamani!kila kitu fanya kwa kiasi!wapenzi/wenza hawatakiwi kua na ushindani...labda kama mnashindana kuonyeshana mapenzi na sio nani kinara wa kulalamika au nani mwenye kivuri zaidi ya mwenzie!hivyo basi ukishokwa shikamana...ukielezwa elewa...ukipendwa pendeka...ukiheshimiwa heshimu na heshimika pia!

Siku njema....lunch ugali wa maharage leo...ama kuna mtu kapika nyama naomba mwaliko!!!
aisee......:A S 13::couch2:
 
yaani nadhani kungekuwa hakuna kuachana aisee, kuna wakati yanaboa mpaka bac yaani huyatamani kabisa kabisa, mie nikiborekaga huwa natafuta safari ya lazima, ndio kama nilivyopotea humu cku mbili tatu hizi....lol

yaani ....inaboa sana...ivi mtu anaish kwake na wewe kwako inaboa ivi sasa yakija mandoa yao sjui inakuaje jaman....
 
True that....
Ila mwenyewe naona hunitaki huko kiviiiile maana ile lunch sijui dinner kila siku wanipiga kalenda!

Saizi nafanya under ground mkwara nilopigwa na mhusika... me legs shakingi!
 
Ugali wa mihogo sijala siku nyingi....naja bibie!

njoooo..ahh siku moja moja nataman ugali hu usipime...
natoroka mapema job ili niufaidi vyema...

chagua km breakpoint ya twn au ya makumbusho...
 
hahaha....halafu hayanaga bahati haya, kuna aliyebahatika kuwa kwenye mapenzi motomoto mwanzo mwisho? mwaka unapita mpo kama paradise vile?

sidhani my dearest
hata glass zikiwekwa pamoja haziache kugongana

Partner nimeletwa kwenu kufikisha ujumbe na kumwaga taaluma!!Lolzz...just kidding!
Haya wote yanatuhusu...hata sie SINGLE LADIES tunaona wanaume wenye magubu wametuzunguka mpaka tunakosa raha!Siku nikijikuta niko ndani yaliyomo sijui ntayaweza au yatanishinda!!

Lizzy unaniangusha.....hashindwi mtu hapa, unakomaa na game mpaka kieleweke labda ukute ni libomu lakini hawa hawa wa wa vimakosa /vituko vya hapa na pale ni wa kuwapotezea na kusonga na lyfe tena nyie ndio wazuri sasa coz mnajua huko mbele sio kwa kuingia moyoni mwa mtu na kamdambili unaziacha nje unaingia miguu peku uweze kupambana vizuri.
 
njoooo..ahh siku moja moja nataman ugali hu usipime...
natoroka mapema job ili niufaidi vyema...

chagua km breakpoint ya twn au ya makumbusho...

Popote mpenzi....ilimradi nikwachie bili!
 
Lizzy unaniangusha.....hashindwi mtu hapa, unakomaa na game mpaka kieleweke labda ukute ni libomu lakini hawa hawa wa wa vimakosa /vituko vya hapa na pale ni wa kuwapotezea na kusonga na lyfe tena nyie ndio wazuri sasa coz mnajua huko mbele sio kwa kuingia moyoni mwa mtu na kamdambili unaziacha nje unaingia miguu peku uweze kupambana vizuri.

Hahahhaha asante mpenzi kwakunipa maujanja....kweli kuingia peku kutarahisisha mapambano!!Ngoja nijiandae andae!
 
yaani ....inaboa sana...ivi mtu anaish kwake na wewe kwako inaboa ivi sasa yakija mandoa yao sjui inakuaje jaman....

sasa nyie ndio wazuri wa kuingia na akili zenu timamu, zina raha na machungu yake aisee sio lelemama, leo hili kesho lile, na muunganiko wa familia mbili, hapo hujakuatana an ma mkwe kisabengo, wifi kiherehere mambo kibao, mjue tu ishu ni kupamaba warembo, wengine tuliingia na akili robo kijiko sasa hivi zimejaa gunia.
 
Lizzy unaniangusha.....hashindwi mtu hapa, unakomaa na game mpaka kieleweke labda ukute ni libomu lakini hawa hawa wa wa vimakosa /vituko vya hapa na pale ni wa kuwapotezea na kusonga na lyfe tena nyie ndio wazuri sasa coz mnajua huko mbele sio kwa kuingia moyoni mwa mtu na kamdambili unaziacha nje unaingia miguu peku uweze kupambana vizuri.

I see..........safi sana,
naona mnafundishana mbinu na kupeana moyo!!!!!
Imetulia hii..........
 
hahahahahah Nyamayao unanifurahisha? akili robo kijiko ndio nini tena? kwa hiyo sasahivi uko juu mbaya.

IF YOU DO ME ....I DO YOU!!!
 
Back
Top Bottom