Ukishikwa......

[/COLOR][/SIZE]

ahhh leo bwana lunch yangu ni UGALI WA MUHOGO na nyama choma,spinach kdg na kachumbari maharage yakipatikana si mbaya sana

au nikikosa ni mwendo wa makange pale kati mwendo kamili!!

rr ule wali njegere ..sawa?

Ugali wa mihogo sijala siku nyingi....naja bibie!
 
nyamayao bana........hicho hakipo labda mmoja awe parasite na mwingine awe ***** hapo yataenda ila mkioana tu basi yanakwisha....

MAPENZI YANA RUN DUNIA

wengine tulijishtukia tumeingia kwenye game tukijua zile babie,sweet,darlie zinaendelea milele, haaa kushtuka kumbe nilikuwa naota....hahaah but wacha yawepo yatupunguze viherehere.
 
Najua yawa faa wote but ikizingatiwa kwa wanandoa very advantageous...
 
Najua yawa faa wote but ikizingatiwa kwa wanandoa very advantageous...

True that....
Ila mwenyewe naona hunitaki huko kiviiiile maana ile lunch sijui dinner kila siku wanipiga kalenda!
 
wengine tulijishtukia tumeingia kwenye game tukijua zile babie,sweet,darlie zinaendelea milele, haaa kushtuka kumbe nilikuwa naota....hahaah but wacha yawepo yatupunguze viherehere.

We nyamayao..... mi yananibore sana hasahasa kinachoudhi unafuatilia demu for 2yrs anakubali 1 second, halafu mnakaa nae kwenye malovedavi kwa 6months mnapigana kibuti inasumbua sana akili yangu.

NAKUPENDA ILA MUDA BADO
 
aisee......:A S 13::couch2:
 
yaani nadhani kungekuwa hakuna kuachana aisee, kuna wakati yanaboa mpaka bac yaani huyatamani kabisa kabisa, mie nikiborekaga huwa natafuta safari ya lazima, ndio kama nilivyopotea humu cku mbili tatu hizi....lol

yaani ....inaboa sana...ivi mtu anaish kwake na wewe kwako inaboa ivi sasa yakija mandoa yao sjui inakuaje jaman....
 
True that....
Ila mwenyewe naona hunitaki huko kiviiiile maana ile lunch sijui dinner kila siku wanipiga kalenda!

Saizi nafanya under ground mkwara nilopigwa na mhusika... me legs shakingi!
 
Ugali wa mihogo sijala siku nyingi....naja bibie!

njoooo..ahh siku moja moja nataman ugali hu usipime...
natoroka mapema job ili niufaidi vyema...

chagua km breakpoint ya twn au ya makumbusho...
 
hahaha....halafu hayanaga bahati haya, kuna aliyebahatika kuwa kwenye mapenzi motomoto mwanzo mwisho? mwaka unapita mpo kama paradise vile?

sidhani my dearest
hata glass zikiwekwa pamoja haziache kugongana

Lizzy unaniangusha.....hashindwi mtu hapa, unakomaa na game mpaka kieleweke labda ukute ni libomu lakini hawa hawa wa wa vimakosa /vituko vya hapa na pale ni wa kuwapotezea na kusonga na lyfe tena nyie ndio wazuri sasa coz mnajua huko mbele sio kwa kuingia moyoni mwa mtu na kamdambili unaziacha nje unaingia miguu peku uweze kupambana vizuri.
 
njoooo..ahh siku moja moja nataman ugali hu usipime...
natoroka mapema job ili niufaidi vyema...

chagua km breakpoint ya twn au ya makumbusho...

Popote mpenzi....ilimradi nikwachie bili!
 
Hahahhaha asante mpenzi kwakunipa maujanja....kweli kuingia peku kutarahisisha mapambano!!Ngoja nijiandae andae!
 
yaani ....inaboa sana...ivi mtu anaish kwake na wewe kwako inaboa ivi sasa yakija mandoa yao sjui inakuaje jaman....

sasa nyie ndio wazuri wa kuingia na akili zenu timamu, zina raha na machungu yake aisee sio lelemama, leo hili kesho lile, na muunganiko wa familia mbili, hapo hujakuatana an ma mkwe kisabengo, wifi kiherehere mambo kibao, mjue tu ishu ni kupamaba warembo, wengine tuliingia na akili robo kijiko sasa hivi zimejaa gunia.
 
I see..........safi sana,
naona mnafundishana mbinu na kupeana moyo!!!!!
Imetulia hii..........
 
hahahahahah Nyamayao unanifurahisha? akili robo kijiko ndio nini tena? kwa hiyo sasahivi uko juu mbaya.

IF YOU DO ME ....I DO YOU!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…