Ukishikwa......

Lizzy,

Ukishikwa... shikamana!

Umenikumbusha thread yangu ya jana niliyotaka kujua jinsi gani unawasiliana na spouse wako, kwenye mambo kama unayoyasema hapo juu!!
 
ntakuonesha kama mm mwanaume kweli....
mimi ndo mwanamke wa kisasa, atajiju!
 
sweetheart mie mzima wa afya, hofu kwako tu ulie mbali na upeo wa macho yangu.....wacha tu sweet mapenzi kitu matata sana sana.
hapo red umenikumbusha zile barua zetu za praimari. Asante mpenzi
Hapo buluu itabidi tukomae tu, kiama chenyewe kimehairishwa! tutafanyaje unadhani.
 
Nikweli lakini wasiwasi wangu ni kwamba anaelewa mpaka anapitiliza na hii kwake sio nzuri sana kwani kwenye uhusiano hakuna fomula ya mojakwamoja!na kama kila kitu unafikiria sana utaona kila kitu sio sawa!
 
Code:
........shikamana!
 
Baada ya jambo fulani jana nilijikuta nafikiria kuhusu watu  wanavyoBEHAVE kwenye mahusiano.Wengine utakuta wanaendekeza  KIBURI...wengine KUDEKA...wengine KULALAMIKA...n.k
 
Vyote hivi vikizidi kwakweli vinaweza kuvunja mahusiano maana  INABOA/CHOSHA...kuna mtu unakuta hata akikosea yeye samahani mwiko.Hata  ukimuwia mpole japo ye ndo mwenye kosa inakua bado haitoshi....yani  kiburi chake ndo kinamtawala.
Wale walalamikaji nao yani utadhani ulimwengu mzima kabebeshwa  yeye....kila saa kama anataka kulia..kila kitu ye ni kama anaonewa.Hata  akifanya kosa kulia atalia yeye ...na kubembelezwa atabembelezwa  yeye.Hawa wadekaji maarufu ndo kabisaaa...mtu kadri unavyombembeleza  ndivyo anavyozidisha!Yani utadhani mashindano...mpaka mwisho wa siku mtu  unaamua kumpotezea tu!
 
Nnachosema ni kwamba...mapenzi sio kukomoana jamani!Kila kitu fanya kwa  kiasi!Wapenzi/wenza hawatakiwi kua na ushindani...labda kama mnashindana  kuonyeshana mapenzi na sio nani kinara wa kulalamika au nani mwenye  kivuri zaidi ya mwenzie!Hivyo basi ukishokwa shikamana...ukielezwa  elewa...ukipendwa pendeka...ukiheshimiwa heshimu na heshimika pia!
 
Siku njema....lunch ugali wa maharage leo...[COLOR=red]ama kuna mtu kapika nyama naomba mwaliko!!![/COLOR]

karibu ninakula wali kwa dagaa wa bwawa la Nyumba ya Mungu ni watamu balaa............
 
Kuna watu wanahusika kwenye haka kasredi! mi sijioni kabisa humu,lakini ngoja nikapitie tu kukasoma!
 
Hivi nyuma ya Mungu hua kuna dagaa?!?Mi sijawahi kuwala....ila perege huniambii kitu!!
 
Code:
........shikamana!
 
Baada ya jambo fulani jana nilijikuta nafikiria kuhusu watu  wanavyoBEHAVE kwenye mahusiano.Wengine utakuta wanaendekeza  KIBURI...wengine KUDEKA...wengine KULALAMIKA...n.k
 
Vyote hivi vikizidi kwakweli vinaweza kuvunja mahusiano maana  INABOA/CHOSHA...kuna mtu unakuta hata akikosea yeye samahani mwiko.Hata  ukimuwia mpole japo ye ndo mwenye kosa inakua bado haitoshi....yani  kiburi chake ndo kinamtawala.
Wale walalamikaji nao yani utadhani ulimwengu mzima kabebeshwa  yeye....kila saa kama anataka kulia..kila kitu ye ni kama anaonewa.Hata  akifanya kosa kulia atalia yeye ...na kubembelezwa atabembelezwa  yeye.Hawa wadekaji maarufu ndo kabisaaa...mtu kadri unavyombembeleza  ndivyo anavyozidisha!Yani utadhani mashindano...mpaka mwisho wa siku mtu  unaamua kumpotezea tu!
 
Nnachosema ni kwamba...mapenzi sio kukomoana jamani!Kila kitu fanya kwa  kiasi!Wapenzi/wenza hawatakiwi kua na ushindani...labda kama mnashindana  kuonyeshana mapenzi na sio nani kinara wa kulalamika au nani mwenye  kivuri zaidi ya mwenzie!Hivyo basi ukishokwa shikamana...ukielezwa  elewa...ukipendwa pendeka...ukiheshimiwa heshimu na heshimika pia!
 
Siku njema....lunch ugali wa maharage leo...ama kuna mtu kapika nyama naomba mwaliko!!!
nikirudi kwenye hoja ukiona panafuka moshi ujue panaficha moto.........................your partner takes advantage of your own whimsical weaknesses..............................mtoto umleavyo ndivyo akuavyo..........na mpenzi au rafiki ni kama mtoto vile apaswa kulelewa ipasavyo.................kama ulimdekeza tangia siku ya kwanza kwa sababu ya udhaifu wako mwenyewe wa kubembeleza penzi sasa majuto huwa ni mjukuu......................umepata lakini kumbe umepatikana na ukijaribu kubadilika atataka kujua sababu za mabadilko na kwa kawaida lazima akuweke kwenye kibanio kikali........sasa usilie sana maana unavuna ulichopanda........................ALWAYS IN RELATIONSHIPS just be yourself...........................do not pretend to be somebody else and later get dazed 4 being a copycat.......... you will have to face the music..............
 
Hapa nina dagaa wa nyasa, wa kigoma wa mwanza na wa maji chumvi unapendelea wapi?
Wa Kigoma nadhani...wale wanaokaushwa kwa jua...yani dagaa orijino ukipika harufu mtaa mzima!
 
Nikweli lakini wasiwasi wangu ni kwamba anaelewa mpaka anapitiliza na hii kwake sio nzuri sana kwani kwenye uhusiano hakuna fomula ya mojakwamoja!na kama kila kitu unafikiria sana utaona kila kitu sio sawa!

Pole yangu...kumbe kujua kukizidi kunakua mzigo ehhh!?
 
Wanachosha kweli...ni kazi zaidi hata ya kulea mtoto mchanga!!!

Ivi kweli wapo watu wa hivyo!!!!kweli wanachosha jitahindi ukatane nae hata mmoja mwekee upupu kwenye shuka wakati amelala!!!!!!malalamishi yake du!
 
Kumbe wengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…