ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Habarini bandugu marafiki zangu wa ukweli
Mnaendeleaje na shughuli zenu na mikakati ya maisha pamoja na majukumu tele
kwangu niko poa ingawaje niko hangover kwa watu ambao wanajifanya vichaa
Kwanini nimeamua kusema hivi leo marafiki? Nimekumbana na kichaa mmoja
nusura nijikwae kwa lugha zake mbovumbovu zisizo na kichwa wala mkia
Huyu kichaa anajiona fahari sana kuwaweka wenzake roho juu na kuwaondolea
upako wao wakiwa katika haflani, yeye anajiona yuko strong kamwe hawezi
tikikisika wala kuyumbishwa. anajiona amewin kumbe ananiwiniwa na wajanja
Anajiona anazo kichwani na kumbe ni oblangata maji ya uhai. Anajiona
amefika kumbe ndo kwanza safari inaanza na lasivyo atafikia mlima K.
Kichaa wa aina hii si bora kubishana wala kulumbana naye kwani hamna
kitu kwenye ufahamu wake na isitoshe hata robo mwaka hajafikia
analeta mbwembwe nyingi wakati goli likko mbali. Je akilifikia itakuwaje?
si majanga tu na kuleta chuki dhidi ya wanaulimwengu? Kichaa kama
huyu bora kuachana naye na kumwacha dunia imfundishe ndipo atarejea
kwenye akili zake timamu na kuwa sawa.
Waswahili wanasema ukishindana na KICHAA nawe utakuwa KICHAA
Ni bora kuachana naye na kusonga mbele.
Marafiki zangu ujumbe huu mahsusi kwa yule KICHAA ambaye
anapenda kuwachafua na kuwatia kero wenzake nahisi ushamfikia
Wasalaamu
Ladyf
cc: Mtambuzi, Mamndenyi, Heaven on earth, Bujibuji, Ruttashobolwa, mathematics, watu8, Bishanga, Kipaji Halisi, Jiwe Linaloishi, Paloma, charminglady, Lady doctor, The secretary, Smile, Passion Lady, FirstLady, Mwita Maranya, stevoh, amu na marafiki zangu wote jongeeni
hapa

Last edited by a moderator: