ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
nakutanaga nao mara kibao ila huwa natafuta uchochoro wa kuchoropokea maana nipo hapa for amani sio kwa vita
watu8 halafu hii error 524 hii Khaa mtu unakuwa bize kuandika reply halafu unakutana nayoAaah...ndio maana kuna siku nilimkanya aache tabia za kijinga...
Wanaume huwa hawalalamiki bali huwa wanahakikisha amani ya mwili na moyo inapatikana...
Leo binti yangu nakupa Big-Up...umesimama kama mwanamke anayejitambua na kwa hili wanaume vinuka mkojo watakaa mbali nawe...
Bora umetambua cha kufanya, pole sana ndugu.
inabidi tudumishe Upendo bana,otherwise unless itakuwa full kuchafuana
Aaah...ndio maana kuna siku nilimkanya aache tabia za kijinga...
Wanaume huwa hawalalamiki bali huwa wanahakikisha amani ya mwili na moyo inapatikana...
Leo binti yangu nakupa Big-Up...umesimama kama mwanamke anayejitambua na kwa hili wanaume vinuka mkojo watakaa mbali nawe...
inabidi tudumishe Upendo bana,otherwise unless itakuwa full kuchafuana
Asante kwa sapoti yako baba nashukuru kwa kuwa unanipenda bintiyo hutaki niboreke na hawa vikinda vyembamba visivyo na mwili halafu Mwambie na B aache kunikera pia
Mwanangu mpenzi ladyfurahia funguka baba mkubwa akusaidie...hebu ning'ate sikio huyo kichaa yu wapi tumpe tiba?
nakutanaga nao mara kibao ila huwa natafuta uchochoro wa kuchoropokea maana nipo hapa for amani sio kwa vita
Passion Lady I miss you!!!!!!!!!
hi dady!!ni bora atuambie huyo kichaa
familia tumrudishe mirembu,huku hapafai vichaaa!!
Hahahah pole, siku hizi imekuwa kero sana...hawa kina Invizibo sijui wana host kwa nani hii JF
hi dady!!ni bora atuambie huyo kichaa
familia tumrudishe mirembu,huku hapafai vichaaa!!
Passion Lady I miss you!!!!!!!!!
wanafamilia mmepotea hadi mmeacha ndugu yenu anapatwa na maswahibu lol!!!!!!!
i miss u too dear!!
familia tusharudi mjengoni
kupambana na kichaa!!