Ukishindana na kichaa nawe utakuwa kichaa bora uyamalize yaishe

Status
Not open for further replies.

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini bandugu marafiki zangu wa ukweli

Mnaendeleaje na shughuli zenu na mikakati ya maisha pamoja na majukumu tele
kwangu niko poa ingawaje niko hangover kwa watu ambao wanajifanya vichaa
Kwanini nimeamua kusema hivi leo marafiki? Nimekumbana na kichaa mmoja
nusura nijikwae kwa lugha zake mbovumbovu zisizo na kichwa wala mkia
Huyu kichaa anajiona fahari sana kuwaweka wenzake roho juu na kuwaondolea
upako wao wakiwa katika haflani, yeye anajiona yuko strong kamwe hawezi
tikikisika wala kuyumbishwa. anajiona amewin kumbe ananiwiniwa na wajanja
Anajiona anazo kichwani na kumbe ni oblangata maji ya uhai. Anajiona
amefika kumbe ndo kwanza safari inaanza na lasivyo atafikia mlima K.

Kichaa wa aina hii si bora kubishana wala kulumbana naye kwani hamna
kitu kwenye ufahamu wake na isitoshe hata robo mwaka hajafikia
analeta mbwembwe nyingi wakati goli likko mbali. Je akilifikia itakuwaje?
si majanga tu na kuleta chuki dhidi ya wanaulimwengu? Kichaa kama
huyu bora kuachana naye na kumwacha dunia imfundishe ndipo atarejea
kwenye akili zake timamu na kuwa sawa.

Waswahili wanasema ukishindana na KICHAA nawe utakuwa KICHAA
Ni bora kuachana naye na kusonga mbele.


Marafiki zangu ujumbe huu mahsusi kwa yule KICHAA ambaye
anapenda kuwachafua na kuwatia kero wenzake nahisi ushamfikia

Wasalaamu

Ladyf



cc: Mtambuzi, Mamndenyi, Heaven on earth, Bujibuji, Ruttashobolwa, mathematics, watu8, Bishanga, Kipaji Halisi, Jiwe Linaloishi, Paloma, charminglady, Lady doctor, The secretary, Smile, Passion Lady, FirstLady, Mwita Maranya, stevoh, amu na marafiki zangu wote jongeeni
hapa
 
Last edited by a moderator:
Pole sana jaman,

mtu wa hivyo dawa yake ni kumpa MAKAVU live,asituharibie

wenzake siku na ndiooo kwanza mwezi ndio umeanza kha!!!!!!!!!!
 
Baba kuna mtu jana kaniuzi na kunikera na isitoshe ananitukana ovyo hadi kwenye line yangu sijui nimemfanyia nini kwani kuachana na yeye kuna makosa baba yaani ameniuzi sana tena sana nimemsamehe ila nimemumwagia hii kitu ili iwe fundisho kwake na wengine simtaji jina nione private baba utamjua tu
Mwanangu mpenzi ladyfurahia funguka baba mkubwa akusaidie...hebu ning'ate sikio huyo kichaa yu wapi tumpe tiba?
 
Nadhani atakuwa na pepo yule kijana....si ndio yule anayependa timu ya mashetani wenkundu au sio yule?

 
Huwa wanaikera sana vijana wenye kuchezea hovyo mabinti kwa kete ya "nitakuoa"....

Sasa huyu kijana atanitambua na atajua kilichomtoa kuku manyoya na kanga akapaki na vidoti doti

baba mkubwa watu8 mbona binti yako anasumbuliwa na huyo kichaa jamani

hebu fanyeni haraka kupata ufumbuzi wa tiba
 
inabidi hapa JF kuwepo na hospitali ya Mirembe, it seems vichaa wanakuwa wengi
 
ndio mwenyewe wala hujakosea baba hebu nenda mwambie sipendi tabia yake ya kunichafulia jina mjengoni hapa hajui kuwa mm ndimi malkia wa mjengo huu?
Nadhani atakuwa na pepo yule kijana....si ndio yule anayependa timu ya mashetani wenkundu au sio yule?
 
huwa wanaikera sana vijana wenye kuchezea hovyo mabinti kwa kete ya "nitakuoa"....

Sasa huyu kijana atanitambua na atajua kilichomtoa kuku manyoya na kanga akapaki na vidoti doti

ukiwa na baba kama watu8 raha sana.........,

vijana lazima wawe na adabu kwa mabinti zao kama kina ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
Aaah...ndio maana kuna siku nilimkanya aache tabia za kijinga...

Wanaume huwa hawalalamiki bali huwa wanahakikisha amani ya mwili na moyo inapatikana...

Leo binti yangu nakupa Big-Up...umesimama kama mwanamke anayejitambua na kwa hili wanaume vinuka mkojo watakaa mbali nawe...

ndio mwenyewe wala hujakosea baba hebu nenda mwambie sipendi tabia yake ya kunichafulia jina mjengoni hapa hajui kuwa mm ndimi malkia wa mjengo huu?
 
nadhani atakuwa na pepo yule kijana....si ndio yule anayependa timu ya mashetani wenkundu au sio yule?

yaani unajua hadi baba mkwe wako anapenda tim gani lol!!!!!!!

Hawajafungwa siku za karibuni hao
 
si unakumbuka baba alivyokuja kwetu akasema kuwa anakununulia gari aaina ya V na mimi akaninunujlia vits ili kunisahaulisha na uwandawazimu wake alionao
Huwa wanaikera sana vijana wenye kuchezea hovyo mabinti kwa kete ya "nitakuoa"....

Sasa huyu kijana atanitambua na atajua kilichomtoa kuku manyoya na kanga akapaki na vidoti doti
 
yaani baba mkubwa watu8 nashukuru kwa mafundisho yako ya kijasusi
chini basi nitampa msumeno wa kichawani ili ajifunze kuwa alikuwa
na komandoo wa kikke asiyependa msihara
 
Last edited by a moderator:
yaani baba mkubwa watu8 nashukuru kwa mafundisho yako ya kijasusi
chini basi nitampa msumeno wa kichawani ili ajifunze kuwa alikuwa
na komandoo wa kikke asiyependa msihara
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…