Ukishindana na kichaa nawe utakuwa kichaa bora uyamalize yaishe

Status
Not open for further replies.
yaani baba mkubwa watu8 nashukuru kwa mafundisho yako ya kijasusi
kama sijamtoa ngeu aende kuwasalimia wenzake walioenda chini
basi nitampa msumeno wa kichawani ili ajifunze kuwa alikuwa
na komandoo wa kike asiyependa msihara
 
Last edited by a moderator:
watu8 halafu hii error 524 hii Khaa mtu unakuwa bize kuandika reply halafu unakutana nayo
 
Last edited by a moderator:
asante ila nataka ajue kuwa wanawake tuko STRONG wala hatuyumbishwi na vikinda vikinda vinavyohemea kwa ndege ili kupata ahueni halafu wanawake tunao uwezo au nabisha shostito charminglady
Bora umetambua cha kufanya, pole sana ndugu.
 
Last edited by a moderator:
unajua bestito unavumilia mpaka unashindwa na hasira zinakuvaa ndo mana inatokea kuwa hivyo ila mm binafsi sipendi kuchafuana na marafiki zangu humu mjengoni kwani wengi wao nimefanya nao shughuli mabalimbali na na wengine nimekuwa nao close sana na huwaga sipendi kabisa ila wako ambao wanapenda kuwaboa na kuwakera wenzao ndo maana inatokea kuwa hivi SIJAPENDA BESTI KUTOA UZI HUU YAMENIFIKA SHINGONI IMENIBIDI NITOE ILI KUMPA FUNDISHO HUYU KIKINDA ASIYEJUA KUVAA HATI NGUO MPAKA AVALISHWE
inabidi tudumishe Upendo bana,otherwise unless itakuwa full kuchafuana
 

swadaktaaaaa!!tena humu vichaa
wapo wengi,wenye akili zetu na tupige kimya tu!!
ila cousin leo nani kakutibua,haupo sawa kabisa
kwa mada za leo!!
 
Asante kwa sapoti yako baba nashukuru kwa kuwa unanipenda bintiyo hutaki niboreke na hawa vikinda vyembamba visivyo na mwili halafu Mwambie na B aache kunikera pia
 
wifi yake na pacha wangu
watu wa hivyo hupaswi kushindana nao
na wewe utaonekana chizi,ukimya ni silaha tosha
lady furahia ampigie kimya tu,wengi yashatukuta!!
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa sapoti yako baba nashukuru kwa kuwa unanipenda bintiyo hutaki niboreke na hawa vikinda vyembamba visivyo na mwili halafu Mwambie na B aache kunikera pia

Nimekusoma binti yangu wala usijali...ujumbe nitawafikishia wote wewe tuliza ball!!
 
yaani ndugu yangu usitokee yakakupata kama yaliyovyonipata mie kwani wengine kazi yao kubwa humu mjengoni kuwachafua wengine tena kwa makusudi eti kisa yeye ni systematic kwangu inahuuuu! aemenikera sana sikupenda kuandika waraka huu ila amenioboa sana utafikiri tuko kule siasani bwana
nakutanaga nao mara kibao ila huwa natafuta uchochoro wa kuchoropokea maana nipo hapa for amani sio kwa vita
 
ndugu zangu wote huyo kichaa mnamfahamu sana
kwani alikuja kwa mbwembwe sana kule ATOWN na
kumfanya ababa apagawe ovyo kisa V inahusuuuu
siye kajitu chenyewe hata kwenye mkono akajai
nimekalisha lakini akanenepi kumbe kana lake moyoni
kananichora na kuniharibia jina langu humu mjengoni
nimekoseani mie?

hi dady!!ni bora atuambie huyo kichaa
familia tumrudishe mirembu,huku hapafai vichaaa!!
 

jamani mijitu mingine ni hovyoooo
pole sana my dear,ila binadamu ndivyo tulivyo
kuna watu na viatu,machizi tunaoishi nao mitaani
ndio wapo na huku pia,mpotezeee huyo,atakua na stress za maisha!!

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…