Ukishindana na kichaa nawe utakuwa kichaa bora uyamalize yaishe

Status
Not open for further replies.
Ni kweli its boring but please forgive him/her. We all stand in need of forgiveness. Watu wengine vipele
 

bora hata yahaya ana uwezo
wa kuvaa suti?kichaa hata kununua boxer
atakua hana uwezo huo!!ngoja niende nyumbani
kwa Lady doctor nimlete akuje huku tunammic!!
 
Last edited by a moderator:
....khaaa jamani!!! sasa kama unajua mtu ni kichaa, nawekwa nini ukazane kugombana na kichaaa!?!?!?
Pole sana wifi yangu!!! yani leo nna usongo wa kubalasa mtu ....laiti ningemjua huyo kichaa...........kingeisha hicho kichaa!!!
 

bora hata yahaya ana uwezo
wa kuvaa suti?kichaa hata kununua boxer
atakua hana uwezo huo!!ngoja niende nyumbani
kwa Lady doctor nimlete akuje huku tunammic!!

pacha asante kwa kuja home kunipa hizi habari....... Haiwezekani atokee kikaragosi kimuharibie siku cousin wetu ladyfurahia... Tena ninamahasira!!!!!

Cousin ladyfurahia nani huyo anae kuzingua ni mdunge sindano ya sumuuuu...... Nasema ni nani huyoooooo...... haki ya nani mpaka nimjue leo,,,, my wii Heaven on earth hebu niazime ile kamusi yako ilioandikwa matusi ya kichina.... Na we Mokoyo hebu niazime sarawili yako niingie ulingoni...... Dadito watu8 naomba kile kirungu chako,,,,, my dear Arushaone usije ukanizuia mwezio mzuka wa hasira umenipanda!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hello daughter....
So far humu ndani kuna kichaa mmoja na anajijua...nahisi ukichaa wake ukimpanda tu...sekunde sifuri atatia timu hapa


vichaa wapo wengi humu wewe hujajua tu!!!
unaweza waita machizi , wendawazimu au wehu!!!
kama hujajua kuwa wapo nitafute nikupe darasa!!!
 

wera weraaa pacha
nimekuandalia silaha za maangamizi
nishazinoa tayari kwa matumizi
ya kuchinja binadamu!!
 
Hello daughter....
So far humu ndani kuna kichaa mmoja na anajijua...nahisi ukichaa wake ukimpanda tu...sekunde sifuri atatia timu hapa
dady vichaa ni wengi humu
machoni kama watu,ila mioyoni mafisi!!
 
waache tu na ukichaa wao kuna watu huwa hawana akili humu ndani mi huwa nawapotezea tu unamwacha na ushamba wake pole ladyfurahia kwa yalokukuta ikiwezekana mlete tumpe tiba
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…