Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Yap hiyo kitu inapaswa kuwa mbele kama Tai.Ukishiriki tendo na mtu humwelewi afya yake zingatia haya
1. Tumia condom
2. Tumia condom
3. Tumia condom
Ikiwa kwa sababu yoyote ile imeshindikana kutumia condom, basi hakikisha unaenda kituo cha afya cha hapo karibu watakupa dawa kinga za kuzuia maambukizi, dawa zinaitwa PEP.
Ila lazima wakupime kwanza damu kabla hujapewa dawa.
Wakuu tutunze afya zetu.
Afya ndio mtaji namba moja.
Naomba kuuliza mkuu Braza Kede je? Maambuzi ya VVU yanaonekana kwenye vipimo ndani ya masaa baada ya kushiriki uzinzi?Ukishiriki tendo na mtu humwelewi afya yake zingatia haya
1. Tumia condom
2. Tumia condom
3. Tumia condom
Ikiwa kwa sababu yoyote ile imeshindikana kutumia condom, basi hakikisha unaenda kituo cha afya cha hapo karibu watakupa dawa kinga za kuzuia maambukizi, dawa zinaitwa PEP.
Ila lazima wakupime kwanza damu kabla hujapewa dawa.
Wakuu tutunze afya zetu.
Afya ndio mtaji namba moja.
Bila condom mbona ingekuwa kwere sana mkuuBora Trump asingeruhusu condom kuuzwa Africa
Kutwanzima mnawaza ngono, so sad.
Zinaitwa PEP!unapimwa uzito?Ukishiriki tendo na mtu humwelewi afya yake zingatia haya
1. Tumia condom
2. Tumia condom
3. Tumia condom
Ikiwa kwa sababu yoyote ile imeshindikana kutumia condom, basi hakikisha unaenda kituo cha afya cha hapo karibu watakupa dawa kinga za kuzuia maambukizi, dawa zinaitwa PEP.
Ila lazima wakupime kwanza damu kabla hujapewa dawa.
Wakuu tutunze afya zetu.
Afya ndio mtaji namba moja.
ngono ni sehemu muhimu ya maisha ya yeyotu aliekamilika mkuu, ni nafasi ya binadam kuongezeka duniani na starehe piaKutwanzima mnawaza ngono
hapo wataalam watakujibu. nachofaham kama unahisi umeyakanyaga hakikisha ndani ya saa 72 (siku 3) umepata hizo dawa chapu.Naomba kuuliza mkuu Braza Kede je? Maambuzi ya VVU yanaonekana kwenye vipimo ndani ya masaa baada ya kushiriki uzinzi?
ni kweli kabisa mkuuYap hiyo kitu inapaswa kuwa mbele kama Tai.
Hayaonekani. Ndo maana wakikupima ngoma ikasoma maana yake ulishakuwa na maambukizi mengine tu kwa angalau miezi 3 iliyopita. Kipimo hakifanyi isolation ya kirusi, bali response ya mwili kufuatia maambukizi, yaani antibodies.Naomba kuuliza mkuu Braza Kede je? Maambuzi ya VVU yanaonekana kwenye vipimo ndani ya masaa baada ya kushiriki uzinzi?
Siyo practice salama, hasa iwapo wote mna michubuko, kwakuwa virusi vinapatikana katika majimaji yatokayo mwilini, so mnaweza kuambukizana. Hata hivyo, hatari kubwa iko kwenye tendo lenyewe ambalo pasi na shaka linaacha michubuko, hata kama huioni au huihisi, michubuko hata ile micro hutokea, ndo maana ngono inaongoza katika kuambukizana VVU.Watu siku hizi wanapiga mabusu kuanzia kitovuni kwenda chini, sasa condoms zitasaidia nini?
Huu mwezi wakristu tunafunga, waislam wanagunga, wewe ndugu ni dini gani unawanza ngono?
Huu mwezi wakristu tunafunga, waislam wanagunga, wewe ndugu ni dini gani unawanza ngono?