Ukishiriki tendo na mtu usiyeelewa afya yake zingatia mambo haya muhimu

Angalizo tu,hizo PEP zenyewe si mchezo!

Njaa full time,ny*ge full time!
 
usishiriki kabisa, ukiona unashindwa kujizuia oa, mbona watoto wazuri wapo tena watulivu kabisa?
ni sawa tu ila sio rahisi kihivyo kama ww unavosema apa. na kuna wengi tu wameoa na bado wanafanya ngono rejareja.

in fact walio kwenye ndoa ndo wanaongoza kwa ngono holela kama haujui.
 
Watu siku hizi wanapiga mabusu kuanzia kitovuni kwenda chini, sasa condoms zitasaidia nini?
usijizile ivo mkuu ndom ndo mpango mzima mkuu. kama umeenda bila ndom na usiyemwamini jisalimishe haraka upate dawa saidizi za kukinga maambukizi
 
mkuu umemaliza kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…