Ukishuka Airport Dar ukapita barabara kuu unaona jinsi nchi na watu wake walivyochoka. Viongozi mnafeli wapi?

Kuna mmoja nilimuuliza uswazini kwetu, hivi hana ndoto ya kukaa maeneo mazuri at least kama Masaki

Akasema hataki kukaa sehemu imetulia kama makaburini

Kwa hiyo mkuu bongo tumezoea tabu na viongozi wanaacha tukae shaghalabagara kwa sababu mipango miji ishafeli. Kwa hiyo wenye kuweza kupanga mbogamboga na matunda barabarani wapange

Wenye kuweza kuchonga kafremu kakutupia mitumba, waweke tu maana wakikatazwa watairudia serikali. Where should we go, je wana majibu sahihi

Sidhani kwa kweli
 
 


Nimesikia ukisema tumekonda
 
🤣🤣🤣mjinga sana kunbe ukija dar unawachora wazee wa kuramba lips
 
Hii kitu hata mimi nimeiona. Raia wa dar mfano uwakute wamesimama kituoni, yaani sura hazina nuru kabisaa. Yani unaona kabisa hawa watu hawana matumaini yoyote moyoni.
Wanatia huruma sana! hii kitu ni kweli kabisa ukienda njombe au Kahama ukiwaona raia wake halafu uje uone baadhi ya raia za Dar zikiwa kwenye msoto wa kupambana na mwendo kasi unaona kabisa sura zimepoteza matumaini.
 
🤣🤣🤣mjinga sana kunbe ukija dar ubawachora wazee wa kuramba lips
nakaa hapahapa, ila picha halisi ya watanzania unaipata dar, hasa wale wanaotembea kwa mguu, wale wanaogombania bus, wale wanaosubiri mabasi kituoni, wale waliolowa jasho njiani, jinsi walivyona mawazo, sura zimechoka, sura hazina matumaini, sura hazina furaha zimejaa hasira. usiangalie wale wanaoendesha magari, hapo utagundua nchi hii watu wengi hawana furaha na serikali ina kazi kubwa kuweka sera zitakazoinua uchumi watu wapate furaha.
 
Nitajaribu kufanya uchunguzi maana nilisha wahi kuona ugomvi wa watu kuoigania seat kwenye daladala ..mtu anatukana matusi mazito anamkunja mtu kisa tu kawahi seat ambayo jamaa aliweka kimzigo kabla hajapanda na jamaa walivyo wahi kuingia kamzigo wakakatoa wakakaaa🤣🤣🤣
 
Nyerere road si inajengwa mwendokasi/brt!!,ukitoka tu usawa wa airport mbona pako fresh
 
Na yeye complete human being akaona pawe na shule,usafiri tofauti kati ya yeye mweupe na weusi!?..hivyo ndivyo wafikirivyo complete human beings!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…