Ukisikia hivi, jua ni kizinga cha hela

Nikopeshe laki nakurudishia tarehe 23 nimetoka kuambiwa hvyo jana tuu.
 
Nikwambie kitu ? Fahamu mzinga unakuja kutua huo
 
Nakumbuka siku ya eid

SMS za michepuko kama 14 ziliingia halafu kila mmoja anaingia na gia yke Mara hela ya saluni,mwingine hela ya dela

30,000 Mara 50,000 nilibaki kucheka tu nikajikaushia kmy


Halafu hawa wadudu hawajishtukii ase ,kuna mmoja alinipigia mahesabu 100,000 khaa

Mshahara wa mtu huo
 
Mi nawaambiaga sifanyi kazi ila wazazi wangu wana pesa wanaishi ughaibuni huko.
 
Mi kuna dude linapiga mizinga mpaka kero mara dia nimepata ajali mbaya sana nipo MOI/ Muhimbili inahitajika hela ya kununua mfupa wa uti wa gongo umekatika! namwambia ngoja nije kukuona basi ooh nipo ICU hairuhusiwi mtu kuja kuniona!!!
 
Mwanamke wa aina hii jitahidi umtumie na uachane nae maana ni bomu la machozi la kutosha kabisa.
 
kuna mtu aliniuliza nafanya kazi wapi.. nikamjibu kampuni ya ulinzi.. alishtuka huyo kama sio kazi halali vile...
Yangu ya mochwari ndio kiboko nilishashuhudia mtu akikaribia kupoteza fahamu baada ya kumtajia kazi yangu
 
Bebi naomba elfu 30 nikatengeneze nywele.....

Hivi hiyo elfu 30 ndo standard au....?
Anaenda kuweka katani yenye rangi kichwani ambayo haitoi kwa mwezi mzima kiasa kwamba kichwa kinamuwasha mpaka anakigongagonga na kukuna


Argghh chawa nje nje[emoji16]
 
Kuna mmoja nilipotezana nae miaka kama. Miwili iliyopita sababu alinizingua so nikampotezea mazima

Sasa juzi kanitafuta mwenyewe kaniomba msamaha anataka kuendelea na Mimi OK nikaona poa kwa kuwa K imejileta yenyewe wacha niile tu maana K haisuswi

Sasa Jana si akaanza kunitangazia shida ooooh nadaiwa kodi mwenye nyumba atanifukuza daa

Nilichoka akili na roho hahahh

Pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…