Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akisema nikwambie kitu mwambie apan utaniambia wiki ijayoNikwambie kitu ? Fahamu mzinga unakuja kutua huo
Mwanamke wa aina hii jitahidi umtumie na uachane nae maana ni bomu la machozi la kutosha kabisa.Unafanya kazi gani? Jua anakuadiria utamfaa ama laa
Unakuja na gari?
Najisikia vibaya sina hela ya kwenda hosptal
Natamani tuonane ila nywele sijasuka siwezi kutembea hivi
Unaweza nisaidia hela ya saloon?
Naomba unikope hela ntakurudishia baada ya siku 2
nadaiwa ada mwenzio
natamani kuja ila sina nauli
Mwenzio na njaa sijakula
Simu yangu mbovu
Yangu ya mochwari ndio kiboko nilishashuhudia mtu akikaribia kupoteza fahamu baada ya kumtajia kazi yangukuna mtu aliniuliza nafanya kazi wapi.. nikamjibu kampuni ya ulinzi.. alishtuka huyo kama sio kazi halali vile...
Anaenda kuweka katani yenye rangi kichwani ambayo haitoi kwa mwezi mzima kiasa kwamba kichwa kinamuwasha mpaka anakigongagonga na kukunaBebi naomba elfu 30 nikatengeneze nywele.....
Hivi hiyo elfu 30 ndo standard au....?