Kuna wachaga walikuwa na maduka kariakoo na majengo. Waliuza wakakimbiza hela kwenye bonds kipindi kile cha Magu. They are living the best life ever hamna TRA wala usumbufu wa aina yeyote toka serikalini 🤣 mtu katumbukiza 7B kwenye Bonds imagine anakusanya bei gani kila mwaka.Mfano umepata 100M. Swali la kujiuliza, Kati ya kujenga nyumba ya kupangisha na kununua bonds, kipi bora? Kwangu mimi, likely nitaweka bonds. Maana nyumba ya million Mia moja, utaijenga maeneo ya kawaida sana (not high end plots or locations). Hiyo nyumba itakupa rent ya million kwa mwezi? Highly unlikely! Ila ukinunua bonds zenye returns around 15.49% kwa mwaka, you are guranteed returns ya 15M kila mwaka kwa miaka 20! Na baada ya huo mda unapewa pesa yako. Nadhani pia wengi wetu ni kukosa elimu sahihi ya pesa na uoga wa “kesho itakuwaje”.
Nyumba ya million Mia moja ni nyumba yavkawaida sana na rent zake ndo hizo..unaweza stretch maybe mpaka laki saba. Hapo hujaweka maintenance.
Kwa mtu anayetafuta na asiye taka biashara za kuumiza kichwa, bonds ni better option, kwa mtizamo wangu.
Dar hio nyumba ya kupewa 250k lazma iwe eneo ndani ya wilaya ya Kinondoni au Ilala.Ingekuwa maeneo ya dar kodi isinge pungua 250k
Kwa nyumba 3 angekuwa na 750k kwa mwezi
Dah ukiwa Tajiri pesa zinakutafuta walah mfano udumbukizemo ka trilioni kamoja 😂😂😂Kuna wachaga walikuwa na maduka kariakoo na majengo. Waliuza wakakimbiza hela kwenye bonds kipindi kile cha Magu. They are living the best life ever hamna TRA wala usumbufu wa aina yeyote toka serikalini 🤣 mtu katumbukiza 7B kwenye Bonds imagine anakusanya bei gani kila mwaka.
Mwaka wa kwanza utakuwa. Utakuwa na
1. 750,000x12 +75M = 84M
2. 840,000x12 +84M = 94M
3. 940,000x12 +94M =105.28M
4. 1,055,000X12 +105.28m =117M
5 . 1,170,000x12 +117 = 131M
Estimation kwenye miaka mitano ya mwisho utakuwa na ongezeko la milioni 70M ukijumlisha na 131 itaingia kwenye 200M
Hiyo hapo ndani ya miaka 5 kwenye return ya 12% per year
Mtoa mada akiona hii, anaweza kurudi UTTNgoja tukuwekee na picha uelewe vizuri nguvu ya compound interest ama faida jumuishi. Initial capital ni milioni 75 kwa muda wa miaka 10 kwa interest ya 12%
View attachment 3093260
Crdb mwakani unasikia gawio mara hawatoi wanataka faida wafanye expansion bla bla blaMtoa mada akiona hii, anaweza kurudi UTT
Itakuwa kamzozo 😂Crdb mwakani unasikia gawio mara hawatoi wanataka faida wafanye expansion bla bla bla
Inakuwa kazazaa kazezee😆Itakuwa kamzozo 😂
YapDar hio nyumba ya kupewa 250k lazma iwe eneo ndani ya wilaya ya Kinondoni au Ilala.
Lakini kupata hata uwanja wa kujenga hilo eneo,ni pesa kubwa.Yap
Wilaya ya kino ilala Ubungo pesa kwenye nyumba ni nje nje
Ina tegemea na ukubwa wa eneoLakini kupata hata uwanja wa kujenga hilo eneo,ni pesa kubwa.
Ila Temeke na Mkuranga huko sahauYap
Wilaya ya kino ilala Ubungo pesa kwenye nyumba ni nje nje
Vipi share za TCC Mkuu?Napambana na CRDB coz kwa analysis nilizofanya itakuja kwa Bora zaidi
Pesa ndefu aiseeKuna wachaga walikuwa na maduka kariakoo na majengo. Waliuza wakakimbiza hela kwenye bonds kipindi kile cha Magu. They are living the best life ever hamna TRA wala usumbufu wa aina yeyote toka serikalini 🤣 mtu katumbukiza 7B kwenye Bonds imagine anakusanya bei gani kila mwaka.
TCC ziko vizuri tatizo zimefikia maturity, ngumu kwa value yake kuongezeka.... Na mara nyingi hisa zikiwa bei ya juu sana wanunuzi wengi wa ndani Wana zi ignore otherwise waje external investors wengi ndo zitapandaVipi share za TCC Mkuu?
Mimi mwenyewe nataka kununua hisa za CRDB mbona tunaanza kutishana mapema hivi.Mwakani mabenki yatafilisika na kufungwa yaliyomengi!
Recession inakuja! Viashiria vinaonekana!
Nakushukuru kwa ufafanuziTCC ziko vizuri tatizo zimefikia maturity, ngumu kwa value yake kuongezeka.... Na mara nyingi hisa zikiwa bei ya juu sana wanunuzi wengi wa ndani Wana zi ignore otherwise waje external investors wengi ndo zitapanda
Hakika Compound Interest ni ajabu la 8 la DuniaAkasome kuhusu maajabu ya compound interest ama kwa kiswahili huitwa faida jumuishi.