Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

1780825629290.png
 
Tembo, NMB, Afriprise kidogo na DSE hizo nyingine ni kutokana na nilibadili broker so maana zinaonekana idadi ya 6
 
Hongera sana, hakikisha sasa umehakiki taarifa zako ili kupata gawio lka Haraka. ili kutambua namna gani ya uhakika jiunge na webinar yetu wiki hii tukiwa na mkufunzi kutoka CSDR kam opuni tanzu ya DSE inayofanya kazi ya kutoa magawio kwa niaba ya makampuni yaliyoorodheshwa. ili usi pitwa na hili unaweza ukajiunga na group la whatsapp kupata updates za haraka:

Jiunge na WhatsApp Group:
TIB RASILIMALI LIMITED

Follow TIB Rasilimali Instagram:
Instagram

Jiunge na WhatsApp Channel:
TIB RASILIMALI

TIB Rasilimali Limited
Building No. 3, Mlimani City Office Park
Sam Nujoma Road, Dar es Salaam
P.O. Box 9154
Simu: +255 754 212 035
Website: www.tibrasilimali.co.tz

TIB Rasilimali, mshirika wako wa karibu kwenye uwekezaji wa hisa, hatifungani na masoko ya mitaji Tanzania.
 

Attachments

  • hakiki gawio.png
    hakiki gawio.png
    1.7 MB · Views: 14
Nimesoma huu uzi toka mwanzo hadi mwisho, niseme tu vita ya kupambana na umasikini bado ni kubwa
 
Back
Top Bottom