Ongezea nyama hapa mkuu wa kazi...Kabisa, sasa tunaingia mwezi wa mafanikio……Devidents declarations + Q1 results. Tujiandae kwa portifolio kunona
hahaha, hongera boss.Sio nimefurahi sema nina furaha 😂😂😂
Mamilion ya pesa 😁Mwezi wa sita tarehe 1 nakula gawio langu
Mwanangu mwenyewe vipi? Kitambo sana Toka enzi za sekondari hatuonana. Kama vipi nicheki pm tukumbushane stori za demu wako shule 😅😅, siku hizi amefubaa kinyama. Halafu vipi ulinzi kama vipi niwekamo🤣Sikuhiyo nitaomba ulinzi kabiss
Umemshtukia 😂Swaga za kizamani sana
Kukosa huwezi maana Kila mwaka hizo benki zinapata faida za kuibia wateja.Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.
NB: Kila hisa nimenunua kwa 660.
Umekula bingo Mkuu 👇👇Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.
NB: Kila hisa nimenunua kwa 660.