Ambrose Koller
Senior Member
- Oct 13, 2024
- 127
- 119
Sisi wazee wa kuuza na kununua hatuna bayaMkuu mambo yanabadilika. Vijana wanafanya hisa kama betting wanapandisha bei sana na sisi tunasema halihamdulillah.... Faida kwetu.
Mkubwa amshapopo kampuni gani hzo