Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

Umeiona hiyo NMB kaka? Sijui kwann haya mamb atukuwai fundishwa hata shuleni.
Hizi elimu tunakutana nazo mtaani na watu mpaka wakuambie ni shughuli. Kwanza hatuamini.

NMB ni wa moto sana kwa sasa pale ndio kashuka huwa alikua 15k....

Tukomae na nyingine NMB ni ya kugusa kuachia.... Mpaka umiliki hisa 1k inabidi uweke 10m wakati CRDB unapata hisa kama 4k....
 
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.

NB: Kila hisa nimenunua kwa 660.
Tupe mrejesho...

NB: Kama hukuwahi kuziuza na ukaendelea kuzishikilia hadi leo. Zitakuwa na thamani ya 223,587,000/=
 
Ukiuza nusu ya hisa kwa bei ya sasa unavuta mpunga after 1 month hisa zinashuka kurudi bei yake 1100 unanunua tena kwa wingi zaidi...

Now watu wanafanya panic buy bei zinaruka hatari.

Watu wameingia na malengo ya 2026 hawajui soko litawashangaza soon...
Kwamba zinarudi buku au sio 😂
 
Back
Top Bottom