comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Mpunga mnene
Mpunga mnene
Yupo asilimia 50, bado nusu apige B, duuhHuyu jamaa miaka kadhaa ijayo atakuwa na BILION
Hisa zinalipa ukianza kwa kujifunza(maarifa) then Uhakikishe ulinzi wa mtaji wako huku ukitegemea return nzuri in future. Huu ni uwekezaji wa muda mrefu so ukiwekeza, kuwa na malengo ya muda kidogo kwa kuzingatia kampuni nzuri kama CRDB, NMB, Afriprise, TCC etcMkuu amshapopo hongera sana kwa kujilipua na sasa unakula mema ya nchi.
Tumia huu uzi kutoa motisha ya uzoefu ili walio wengi tujifunze na kubadilisha mitizamo yetu kuhusu masoko ya hisa na mitaji. Hii tasnia hapa bongo bado ni changa na watu wanahitaji kulelewa kwa mifano halisi kama wewe hapo. Potezea masimango yote tuliyokurushia wakati ule, tupe elimu ya uzoefu ili wengi wetu tuendelee kujiunga na hatimaye hata wewe thamni ya hisa zako itaendelea kukua kila uchwao.
Yangu ni hayo tu na sio kwa nia mbaya mkuu.
Ukiuza nusu ya hisa kwa bei ya sasa unavuta mpunga after 1 month hisa zinashuka kurudi bei yake 1100 unanunua tena kwa wingi zaidi...
Soma nyakati, pia angalia mwamko namzunguko wa pesa mtaanina hapohapo iangalie CRDB kwa jicho la mbali. Unaweza subiri bei ishuke ukaja ikuta imefika 4000Ukiuza nusu ya hisa kwa bei ya sasa unavuta mpunga after 1 month hisa zinashuka kurudi bei yake 1100 unanunua tena kwa wingi zaidi...
Now watu wanafanya panic buy bei zinaruka hatari.
Watu wameingia na malengo ya 2026 hawajui soko litawashangaza soon...
Soma nyakati, pia angalia mwamko namzunguko wa pesa mtaanina hapohapo iangalie CRDB kwa jicho la mbali. Unaweza subiri bei ishuke ukaja ikuta imefika 4000
Kwani alishauza?Imagine usngeuza sahvi ingekuwa na utajiri mkubwa
MangiSoma nyakati, pia angalia mwamko namzunguko wa pesa mtaanina hapohapo iangalie CRDB kwa jicho la mbali. Unaweza subiri bei ishuke ukaja ikuta imefika 4000
Mkuu sasahivi hisa zimesimamaje?Sijauza
Sawa kaka.Tupo. Na uzi utaendelea kuwepo
Aisee!! Naona zinazidi kupaa2050
Tununue au unashaurije mtaalam amshapopo2050