Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
KWa asilimia 100 hujasoma uzi wake.Umefanya maamuzi ya pupaa UTT inakupa kitu cha uhakika kama
1. Kupata pesa yako unapohitaji kwa haraka kuliko hisa mpaka uuze.
2. Gawio la uhakika na unalijua kuliko hisa
3. Usalama wa mtaji wako UTT haishushi thamani ila Hisa inategemea na hali ya soko.
In short tuombe mungu iwe nzuri ikiyumba unapiga yowe
Kwa mwaka UTT wanakupa 12% ina maana milioni 60 yamaa angevuta 7.2m mwaka mzima.
Hisa amenunua kwa 660 kaja kauza kww 1400 ongezeko la asilimia 147 ukitoa charges za broker na wenginr anabaki na asilimia 142 yani kwa milioni 60 ndani ya mwaka kapata faida ya zaidi ya milioni 67. Mara 9 na zaidi angeweka UTT.
Then unasema kakurupuka?