Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

Wakati unaandika huu uzi hisa za crdb zilikuwa around 600, hivi sasa ni 1100, ingawa zilifika 1900. nachotaka kusema ni umedouble your money kama haukusell now you have roughly more than 60% capital gain! Financial markets ni tamu bhn!
 
Hisa za Crdb hazikufika 1900 mwisho kabla kuanza kushuka 1500 na kitu
 
Umefanya maamuzi ya pupaa UTT inakupa kitu cha uhakika kama
1. Kupata pesa yako unapohitaji kwa haraka kuliko hisa mpaka uuze.
2. Gawio la uhakika na unalijua kuliko hisa
3. Usalama wa mtaji wako UTT haishushi thamani ila Hisa inategemea na hali ya soko.
In short tuombe mungu iwe nzuri ikiyumba unapiga yowe
 
Mkuu uko serious?

Mtu amenunua hisa moja ikiwa 660 na kwa milioni 60 aliyokua nayo alipata roughly hisa 90,909 ambayo akiuza leo kwa 1400 atapata jumla ya 127 M

Mkuu mtu amekurupuka kwa kutengeneza faida ya 67 M in a year??

Nashauri uusome vizuri uzi wake kabla unless kama umecomment based on tittle bila kusoma kilichopo ndani.
 
Umefanya maamuzi ya pupaa UTT inakupa kitu cha uhakika kama
1. Kupata pesa yako unapohitaji kwa haraka kuliko hisa mpaka uuze.
2. Gawio la uhakika na unalijua kuliko hisa
3. Usalama wa mtaji wako UTT haishushi thamani ila Hisa inategemea na hali ya soko.
In short tuombe mungu iwe nzuri ikiyumba unapiga yowe
Mindset ya kimaskini sana
 
Back
Top Bottom