G
guest-1793599959
Guest
Nmenunua hisa za crdb kama 45 hivi..lengo ni kufanya demo..ni almost wiki imepita lkn mpaka sasa hazisomi kwenye account yangu..tatzo wenda ni nini?Mwakani hisa zitafika 2000 CRDB kwenye 1H imetengeneza faida ya bil 342 hii ni ishara nzuri sana. Tukutane mwakane bei itakuwa 2000+