Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

Mganduke aisee. Kijana mwenye 20s and 30s hata 40s uwekezaji wako ukifanikiwa uwekeze kwenye hisa 75% na hizo nyingine 25% ndo kwenye bond na mifuko kama Utt
Kweli kabisa. Hutakiwi kuwa muoga ukiwa kijana
 
But before mtu uanze kuwekeza ni muhimu sana uhakikishe unapata elimu ya kutosha kuhusiana na hiyo kampuni unayotaka kuinunua na soko la hisa kwa ujumla wake, ili unapofanya maamuzi unafanya a well informed decision, usinunue tu kwa vile umesikia hisa fulani ni maarufu watu wananunua!!.… Tafuta wataalam wa uwekezaji wakusikilize malengo yako binafsi na kushauriana mahali sahihi pa kuwekeza…All in all Hisa zinawapa watu pesa kwa kipindi hiki
 
Kweli
 
Kuna kitunkinaitwa investment portifolio na namna ya kujikinga na majanga. Kisukuma wanasema do not out all your eggs in one basket.
Sasa hapo sijajua kama umewekeza sehemu nyingi na hiyo ya CRDB ni mojawapo au ni aje.
Unatakiwa kuwekeza sehemu tofauti tofauti ili mojawapo ikifanya vibaya usipoteze jumla.
Unaweza ukaamka asubuhi ukakuta BOT wameifungia CRDB kufanya biashara ukaja kutusumbua bure humu.

Tafuta ushauri wa kitaalam kuhusu kuwekeza kwenye money market
 
Yes for general bank profit, but not in terms of dividend for share holders, better to invest your money UTT mara mia..!! Huyu mwache atarudi kauza shares azipeleke UTT tena, hajafanya study vema, ndio maana kaandika kujilipua, mtu wa kujilipua ni mtu wa ku bet, yaani sio msomi au hajui soko la fedha vema, kazi yake ni ku bet bet tu..!!
Huyu labda hategemei gawio anategemea kuja kuziuza hizo shares.kwa maana amenunua kwa bei ndogo ana expect after sometimes share price itakwenda juu signifcantly na kuuza shares zake.

Inategemea na umri wake.Huwezi kuwa over 45years halafu ukaingiza fedha zako zote kwenye shares
 
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.

NB: Kila hisa nimenunua kwa 660.
Sasa hapo ulijilipuaje?,wakati umewekeza!,kujilipua ni kuchukua hiyo hela na kwenda nayo mererani?😃
Aidha binafsi niliwahi kujilipua niliuza nyumba nikanunua lorry,a risk buz,baada ya mwaka nikaanza kujenga upya!,nimemaliza nyumba,gari ninalo na nyumba ninayo!
 
ukata wa dola umewangusha sana mwaka jana, kazi kwa mazoea bila kujari wateja kunaenda kuwaangusha pia

kifupi wafanya kazi wa CRDB hasa mameneja hawajishughulishi tena wanahisi wamemaliza kazi

naiona NBC inakuja vizuri
Sijajua kwanini hawana Dollars yaan sipati kuelewa shida ni nini haswa?
 
Huyu labda hategemei gawio anategemea kuja kuziuza hizo shares.kwa maana amenunua kwa bei ndogo ana expect after sometimes share price itakwenda juu signifcantly na kuuza shares zake.

Inategemea na umri wake.Huwezi kuwa over 45years halafu ukaingiza fedha zako zote kwenye shares
Toa elimu ya kifedha uwasaidie hawa vijana below 45 wanaochipukia na million zikiwa mikononi mwao na hawana kwa kuzipeleka
 
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.

NB: Kila hisa nimenunua kwa 660.
Mkuu umekuwa roll model, nimefanikiwa kuwekeza UTT. Sasa umenichanganya umehama...
 
Yes for general bank profit, but not in terms of dividend for share holders, better to invest your money UTT mara mia..!! Huyu mwache atarudi kauza shares azipeleke UTT tena, hajafanya study vema, ndio maana kaandika kujilipua, mtu wa kujilipua ni mtu wa ku bet, yaani sio msomi au hajui soko la fedha vema, kazi yake ni ku bet bet tu..!!
Sasa mkuu si ungetoa elimu hapa kwa manufaa ya wote kwamba kwanini hayupo sahihi kufanya alichofanya, ungetoa elimu hio adhimu ya kifedha kwa manufaa ya kila anaesoma ajifunze manufaa ya UTT ni yapi ambayo ni bora zaidi kuliko kwenda kununua Hisa DSE au kwenda BOT na kuziacha huko ukitegemea baada ya mwaka upewe 15% ya pesa zako
 
Kuna kitunkinaitwa investment portifolio na namna ya kujikinga na majanga. Kisukuma wanasema do not out all your eggs in one basket.
Sasa hapo sijajua kama umewekeza sehemu nyingi na hiyo ya CRDB ni mojawapo au ni aje.
Unatakiwa kuwekeza sehemu tofauti tofauti ili mojawapo ikifanya vibaya usipoteze jumla.
Unaweza ukaamka asubuhi ukakuta BOT wameifungia CRDB kufanya biashara ukaja kutusumbua bure humu.

Tafuta ushauri wa kitaalam kuhusu kuwekeza kwenye money market
Portifolio inawafaa wenye hela nyingi sio et una ml 5 una diversify kampuni 5 utapata nini? Pia kuweka mayai kwenye kapu moja na kuyatunza ipasavyo sio vibaya
 
Yes for general bank profit, but not in terms of dividend for share holders, better to invest your money UTT mara mia..!! Huyu mwache atarudi kauza shares azipeleke UTT tena, hajafanya study vema, ndio maana kaandika kujilipua, mtu wa kujilipua ni mtu wa ku bet, yaani sio msomi au hajui soko la fedha vema, kazi yake ni ku bet bet tu..!!
Bafo nipo mkuu. Ulinisagia kunguni sana😂😂😂 Bei ya hisa now ni 1330 nakuuliza vp unasemaje tena
 
Ila haya mambo kuna kipindi nilinunua hisa za CRDB kama elf 10 hivi kipindi zinauzwa 180 kwa moja nikaona zinadorora nikauza iliikua 2017,ningeziacha leo ningekuwa na. Milioni. 13 plus hahahaahah😁😁
 
Uoga wako ndio umaskini wako
 
Ziuze uchukue pesa mkuu huwezi kujua ya kesho hiyo ni faida kubwa sana
Mwakani hisa zitafika 2000 CRDB kwenye 1H imetengeneza faida ya bil 342 hii ni ishara nzuri sana. Tukutane mwakane bei itakuwa 2000+
 
Back
Top Bottom