Mike Moe
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 422
- 497
Daaah jamaa kajichanganya kweli kweliAlijua yupo kwenye Ile ID Yake nyingine
Daaah jamaa kajichanganya kweli kweliAlijua yupo kwenye Ile ID Yake nyingine
Hisa huwa hazitowi matokeo kwa mda wa mwaka mmoja. Kama umewekeza ukitegema baada ya mwaka mmoja utavuna utaishia kulia. Bora ungeenda ukanununua poli ukapanda miti ya mitiki baada ya miaka mitano ungetowa hela zako zote zikiwa salaama.Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.
NB: Kila hisa nimenunua kwa 660.
DuuhHisa huwa hazitowi matokeo kwa mda wa mwaka mmoja. Kama umewekeza ukitegema baada ya mwaka mmoja utavuna utaishia kulia. Bora ungeenda ukanununua poli ukapanda miti ya mitiki baada ya miaka mitano ungetowa hela zako zote zikiwa salaama.
okay 🐒🐒🐒🐒!Jamaa alinunua hisa za CRDB kwa 660 leo hii hisa Moja ni 1000 Bado alipewa dividend kwa hisa Moja sh 65 🙄🙄🙄🙄
Umeangalia bei ya hisa niliyonunulia na bei ya sasa? Nilinunua kwa 660 saivi bei ya hisa ni 1000 ongezeko la 340 kila hisa. Pia nilipewa gawio mwezi uliopita la 65 kwa kila hisa. Piga hesabu nimeingiza sh ngap hadi sasaHisa huwa hazitowi matokeo kwa mda wa mwaka mmoja. Kama umewekeza ukitegema baada ya mwaka mmoja utavuna utaishia kulia. Bora ungeenda ukanununua poli ukapanda miti ya mitiki baada ya miaka mitano ungetowa hela zako zote zikiwa salaama.
Sterling amekufa vibaya sanaJamaa Gani tena wakati ni wewe ndio ulisema umenunua hizo hisa Kwa 660 inamaana ushajisahau ukiwa muongo tunza kumbukumbu unatuchezesha shere
Umeingiza zero kwasababu hujauza hisa hiyo bei unayoona leo kesho inaweza kushuka mpaka Mia tano. Na siku hiyo ndio ukawa unahitaji kuuza hizo hisa. Ukipiga hesabu ya dividend uliyo pewa na hasara unakuta ni majanga.Umeangalia bei ya hisa niliyonunulia na bei ya sasa? Nilinunua kwa 660 saivi bei ya hisa ni 1000 ongezeko la 340 kila hisa. Pia nilipewa gawio mwezi uliopita la 65 kwa kila hisa. Piga hesabu nimeingiza sh ngap hadi sasa
Ni sawasawa tu ukiwa na kiwanja au nyumba, faida au kupanda thamani kwake ni nadharia, mpaka uuze ndio unapata faida halisi…Na siku unayotaka kuuza unaweza ukakuta pia kiwanja au nyumba imeshuka bei au ukauza kwa hasara vilevile kama una dharura coz real estate moja ya dissadvantage ina Low liquidity…Umeingiza zero kwasababu hujauza hisa hiyo bei unayoona leo kesho inaweza kushuka mpaka Mia tano. Na siku hiyo ndio ukawa unahitaji kuuza hizo hisa. Ukipiga hesabu ya dividend uliyo pewa na hasara unakuta ni majanga.
Kiwanja kinashuka vipi beiNi sawasawa tu ukiwa na kiwanja au nyumba, faida au kupanda thamani kwake ni nadharia, mpaka uuze ndio unapata faida halisi…Na siku unayotaka kuuza unaweza ukakuta pia kiwanja au nyumba imeshuka bei…
Fuatilia factors zinazofanya real estate ishuke value na price…Zipo nyng tu ni vile watu wengi hatufuatilii…Sio mara zote Real estate inapanda, kuna wakat inashukaKiwanja kinashuka vipi bei
Kinashuka vipi ndio unielezee Mimi nisiejua yaani mfano nimenunua Leo kiwanja halali kabisa bila mgogoro Wala kuwa sehemu ya miradi ya serikali milion 5 kikakaa miaka mitano kinashuka vipi yaani embu nielezeeFuatilia factors zinazofanya real estate ishuke value na price…Zipo nyng tu ni vile watu wengi hatufuatilii…Sio mara zote Real estate inapanda, kuna wakat inashuka
Hii multiple ID ni ya kuchunga sana.Jamaa alinunua hisa za CRDB kwa 660 leo hii hisa Moja ni 1000 Bado alipewa dividend kwa hisa Moja sh 65 🙄🙄🙄🙄
Hisa zinalipa sana amini usiaminiUmeingiza zero kwasababu hujauza hisa hiyo bei unayoona leo kesho inaweza kushuka mpaka Mia tano. Na siku hiyo ndio ukawa unahitaji kuuza hizo hisa. Ukipiga hesabu ya dividend uliyo pewa na hasara unakuta ni majanga.
Mimi nauliza kiwanja kinashukaje BeiUnaweza kununua eneo na lisipande bei kwa mda mrefu ie kukosekana kwa miundombinu kama road, maji, squatter place etc
Kmmk 🤣🤣Waliosema don't put all your eggs in one basket unadhani walimaanisha mayai ya kuku ?
😁Wow... marafiki zangu wote Wana Hela
Bado mm tu😍😅