Umeeleweka vema, ngoja tuwe na subira, 790 sasaBei inashuka kwa sababu now bei inatrade Ex-Dividend meaning hata ukinunua hisa ssiv hutapata gawio la mwaka huu itabidi usubiri mpaka mwakani, so wale dividend hunters wameshakuwa registered kupata gawio now wanauza, meaning wauzaji ni wengi wanunuaji wachache, bt sidhani kama itafika bei kama ya january enzi za 680….Possibly itastuck hapo around 700 na kitu..