Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

JF bwana, wewe una dola ngapi umezihifadhi hadi sasa? Maisha ya Watanzania wengi ni DUNI wanaishi kwa KUPIGANIA MKATE WA KILA SIKU kwasababu ya sera za hovyo na mbovu kabisa za CCM.
Daah haya bwana. Ila pokea ushauri usitake kujua mimi nina nini!! Hatupo hapa ku brag...
 
Huu ukuaji wa kasi ni kutokana na demand kuwa kubwa watu hawauzi gisa zao kabsa. Ukikuta hisa zilizo sokoni ni 10 hazifiki 100.

Nadhani baada ya gawio wataanza kuziuza na mpaka december bei itakua stable.....

- Kama ingepanda baada ya kutangazwa gawio, basi ingekuwa ni kwasababu ya Dividend Hunter.

- But, it wasn't the case, watu walichukia kupunjwa. Na bei ikaganda at 790

- Q1 report ilipotoka juzi, ikaanza kupanda to 820... This implies uwepo wa Value Hunter (Washaiona 1,000)

Conclusion:
  • Itashuka ndio bt Nafikiri Chances are minimal mzigo kushuka bei sana
  • Kama unamzigo nunua
 
Jtatu lazima italalia 840
 
Bei inashuka kwa sababu now bei inatrade Ex-Dividend meaning hata ukinunua hisa ssiv hutapata gawio la mwaka huu itabidi usubiri mpaka mwakani, so wale dividend hunters wameshakuwa registered kupata gawio now wanauza, meaning wauzaji ni wengi wanunuaji wachache, bt sidhani kama itafika bei kama ya january enzi za 680….Possibly itastuck hapo around 700 na kitu..
 
Back
Top Bottom