Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

Hongera sana brother, kamwe usisikilize maneno ya watu wanaokukatisha tamaa, as long as ulifanya analysis yako vizuri…You are good to go… Mm mwenyewe nilinunua 3 yrs back za Crdb enzi zikiwa 380 zaidi ya 100M, ssiv bei imedouble na dividends 3 times…
Biashara ulishawahi kufanya??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
UTT ile IRR ni fixed na Share inategemea na soko lilivyo.
Kila moja ina faida yake na hasara zake.
Ila kwa kuwekeza kamilioni huwezi ona chochoteee.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwanini unapenda kuongelea vitu ambavyo huna uelewa navyo na kuandika ujinga tu.

What on earth are you talking about.

What does IRR has to do with a mutual fund investor.

Like serious kuna watu humu wanaona kabisa wanakuona unatoa elimu kwa ujinga unaoandika.

Like serious hivi mnawezaje kuongelea mambo ambayo uelewa nayo.

IRR in mutual a fund, wewe ni asset manager au investor; mnajazana ujinga mtupu.
 
Punguza personal attack.

Mutual fund zote faida huwa ni fixed na kwa bongo ni 12 - 14%
Ila hisa hutegemea na gawio na huwa kubwa au dogo kwa mwaka husika.

CRDB kuna mwaka waligawia 100/share na mwaka 65/share

Mfano mimi nina fund Kwenye Sanlaam Fund ambayo mpaka sasa nishajua mwisho wa mwaka ni 12.78% na Faida fund wao wamesema ni 13%

Ila mdogo angu yupo CRDB na hisa anasema mwaka huu gawio ni dogo kuliko mwaka jana.

Mutual fund una invest ukijua utavuna Rate gani of Return ila SHARE HAIPO.

KENGINE.
Ukiwa unatoa hoja punguza maneno ya kejeli na personal attack UTAFIKA MBALI.

Hiyo kujua kwa Mutual fund NDIO UZURI WAKE
Hiyo kutojua kwa Share ndio ubaya wake.

Ila share huwezi kuwa na return kubwa mwaka husika kuliko mutual fund.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Dola inaposhuka thamani wewe chukua shilingi yako ibadili kuwa dola nenda bereau exchange. Unaiweka dola muda kadhaa mfano Dec dola ilikua ni 2200 watu wakaanza kuziuza zaidi. Wewe ukiinunua na kama umekaa nayo mpaka sasa ile dola 1 ya January now ni 2650 ongezeko la 450 kwa kila dola.

Ina maana kama ulikua na dola 10000 utapata faida ya 4.5m ukiuza kwa sasa...
Unakaa nayo ndani au wapi?
"" UNAKAA NAYO WAPI?? ""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kwanini unapenda kuongelea vitu ambavyo huna uelewa navyo na kuandika ujinga tu.

What on earth are you talking about.

What does IRR has to do with a mutual fund investor.

Like serious kuna watu humu wanaona kabisa wanakuona unatoa elimu kwa ujinga unaoandika.

Like serious hivi mnawezaje kuongelea mambo ambayo uelewa nayo.

IRR in mutual a fund, wewe ni asset manager au investor; mnajazana ujinga mtupu.

Jifunze kutotoa maneno ya kashfa unapojadili Hoja.
Hilo litakusaidia na UTAFIKA MBALI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Punguza personal attack.

Mutual fund zote faida huwa ni fixed na kwa bongo ni 12 - 14%
Ila hisa hutegemea na gawio na huwa kubwa au dogo kwa mwaka husika.

CRDB kuna mwaka waligawia 100/share na mwaka 65/share

Mfano mimi nina fund Kwenye Sanlaam Fund ambayo mpaka sasa nishajua mwisho wa mwaka ni 12.78% na Faida fund wao wamesema ni 13%

Ila mdogo angu yupo CRDB na hisa anasema mwaka huu gawio ni dogo kuliko mwaka jana.

Mutual fund una invest ukijua utavuna Rate gani of Return ila SHARE HAIPO.

KENGINE.
Ukiwa unatoa hoja punguza maneno ya kejeli na personal attack UTAFIKA MBALI.

Hiyo kujua kwa Mutual fund NDIO UZURI WAKE
Hiyo kutojua kwa Share ndio ubaya wake.

Ila share huwezi kuwa na return kubwa mwaka husika kuliko mutual fund.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Acha kuandika ujinga

Mutual fund na commercial bank ni kitu kimoja.

Hujui hata tofauti ya UTT Hamis (Mutual Fund) na CRDB (Commercial bank).

kama uelewa tu wa definition za financial intermediaries ni changamoto unaweza tu kuwashauri watu kuhusu maswala ya investment.

Unaandika ujinga mtupu wa mambo usiyoyaelewa kuhusu financial instruments.

Mada ilikuwa juu yangu ina trend ndio maana nikachangia, nikuombe msamaha wewe na audience yako kwa kuingilia.

Iła ninapokutana na upuuzi nashindwa kujivumilia.
 
Mshua kwaheri.

Unahasira mke katombw(a) nini?

Mbona una personal attack sanaa...

Jifunze kutumia maneno mazuri NDIO NIALIKE TUJADILI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Jifunze kutotoa maneno ya kashfa unapojadili Hoja.
Hilo litakusaidia na UTAFIKA MBALI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Soma kwanza kuhusu financial intermediaries uone ujinga wako.

Hujui hata tofauti ya mutual fund na commercial banks na shughuli zao.

Mimi nikikusoma naona unaandika ujinga tu na wewe sio investor.
 
Mshua kwaheri.

Unahasira mke katombw(a) nini?

Mbona una personal attack sanaa...

Jifunze kutumia maneno mazuri NDIO NIALIKE TUJADILI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Aargh hujui kitu

Ungekuwa unaelewa business model on how a commercial bank makes profit and a mutual fund makes profit ndio ungeelewa upuuzi wako.

Unaandika ujinga wa mambo usiyonaelewa nayo.

Hujui
 
Soma kwanza kuhusu financial intermediaries uone ujinga wako.

Hujui hata tofauti ya mutual fund na commercial banks na shughuli zao.

Mimi nikikusoma naona unaandika ujinga tu na wewe sio investor.
Haya
Ukiwa tayari kujadili bila kutoa maneno ya hovyo KARIBU.

Na nakushauri hata huko ulipo, usiwe unayatumia.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
😘😘😘😘
Hayaaa

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hujui kitu,

Kwa mwenye uelewa wa maswala ya finance wewe ni taahira tu.

My god the nonsense you write about, is beyond me.

Hii tabia ya kuandika mambo msiyo na uelewa navyo hata sijui mnaitoa wapi.

Wewe huna ata abc za finance, Unaandika ujinga mtupu.
 
Dola inaposhuka thamani wewe chukua shilingi yako ibadili kuwa dola nenda bereau exchange. Unaiweka dola muda kadhaa mfano Dec dola ilikua ni 2200 watu wakaanza kuziuza zaidi. Wewe ukiinunua na kama umekaa nayo mpaka sasa ile dola 1 ya January now ni 2650 ongezeko la 450 kwa kila dola.

Ina maana kama ulikua na dola 10000 utapata faida ya 4.5m ukiuza kwa sasa...
JF bwana, wewe una dola ngapi umezihifadhi hadi sasa? Maisha ya Watanzania wengi ni DUNI wanaishi kwa KUPIGANIA MKATE WA KILA SIKU kwasababu ya sera za hovyo na mbovu kabisa za CCM.
 
Wengi humu ni hadithi tu hawana ata abc za investment.
 
Punguza personal attack.

Mutual fund zote faida huwa ni fixed na kwa bongo ni 12 - 14%
Ila hisa hutegemea na gawio na huwa kubwa au dogo kwa mwaka husika.

CRDB kuna mwaka waligawia 100/share na mwaka 65/share

Mfano mimi nina fund Kwenye Sanlaam Fund ambayo mpaka sasa nishajua mwisho wa mwaka ni 12.78% na Faida fund wao wamesema ni 13%

Ila mdogo angu yupo CRDB na hisa anasema mwaka huu gawio ni dogo kuliko mwaka jana.

Mutual fund una invest ukijua utavuna Rate gani of Return ila SHARE HAIPO.

KENGINE.
Ukiwa unatoa hoja punguza maneno ya kejeli na personal attack UTAFIKA MBALI.

Hiyo kujua kwa Mutual fund NDIO UZURI WAKE
Hiyo kutojua kwa Share ndio ubaya wake.

Ila share huwezi kuwa na return kubwa mwaka husika kuliko mutual fund.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Crdb bado hawajafika gawio la 100 per share…Mwaka juzi alitoa 45 mwaka jana 50 mwaka huu 65…
 
Back
Top Bottom