Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.
Umejilipua kweli maana kuuza ndio akili itakukaa sawa kama una pesa ya mawazo
 
CRDB na NMB wanafanya vizuri sana DSE
Nmb plc wanafanya vizuri ila crdb plc wanacheza na price not really trust me. Yaani mwenye hisa 1000 nmb anapata zaid same thaman kubwa kuliko mwenye hisa 1000 crdb plc
 
Ni issue ya calculation tu ie hisa 1000 NMB * 5900 = 5,900,000 while hisa 1000 CRDB * 760 = 760,000 huoni utofauti hapo? Divient ukinunua hisa za CRDB mwaka huu kwa 5,900,000 ÷ 760 =7763 × 67 = 520,121 while NMB with same amount Utapata hisa 1000 * 360 = 360,000. Chaguo ni lako
 
Mkuu mimi ninanua hisa kupitia DSE kijanjani app lakini mara nyingi app inazingua, hii changamoto ni yangu tuu au app ina shida
 
App huwa inasumbua sana, naona kuna marekebisho wanafanya soon itakaa powa
 
Jamaa ulilenga.

Hisa za CRDB kipindi hiko ilikua ni 680 now ni 760 ongezeko la 80...

Kama ulinunua hisa 80,000 ina maana leo una 6.4m ndani ya miezi iwapo utauza. Ungeacha UTT ungekua na laki 7 mwisho wa mwaka.

Gawio la CRDB mwaka jana ni sh 45 kwa hiyo average gawio lako ni 3.8m kwenda mbele kama watatoa gawio.

Tatzo watu hawasomi taarifa za mikutano ya wanahisa wana comment tu utapata hasara.

Mzee kaza

Binafsi nimeanza mdomdo hii miezi mitatu hisa zimekua kwa sh 40. Tunasubiri anguko tununue tena na tena. Baada ya 2027 tutakutana tena hapa kupiga stori zaidi.
 
Ukisoma comments huko juu watu walinicheka sana. Nilinunua kwa 650,660 na 670 nilikuwa na hela sehemu kama 40m nikanunua tena hisa kwa 670 January mwanzoni, so saivi Nina hisa 142,610 CRDB hisa 420 NMB hisa 2800 DCB hisa 2680 Nicol ndogo mdogo na kila nikipata pesa nanunua hisa. Gawio mwaka huu litakuwa Kati ya 65 na 70 kwa hisa.
 
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.
Hongera sana
 
Safi.
The higher the risk the higher the profit.

Wekeza mzee
Pia nikushauri kutowekeza sana NMB. Hisa zake zinaelekea kufikia kikomo cha bei. Kifupi imekua overpriced kutokana na ukuaji wa ghafla kipindi cha Magufuli. Kumbuka kipindi kile benki zenye mahusiano na serikali zilipiga faida sana na kufanya demand ya hisa kuwa kubwa.

Now inaelekea kufikia ukomo.

But huu ni mtazamo wangu wangu wa kingumbaru. Lolote linaweza kutokea.

Ila hisa 140k za CRDB mzee umetisha sana. Mimi hisa 12k tu nimeona faida ya more than 500k je wewe...
 
Pia ukiachana na hisa, UTT nikuongezee chaka jingine la hela ambalo wanatumia wakubwa.

Nunua dola mzee ni noma sana.

January dola ilikuwa 2250 leo dola ni 2600 ongezeko la mia 400 kwa kila dola.

Kama ulikua na dola 10,000 january leo una faida ya 400×10,000 ambayo ni 4,000,000/= bila jasho ndani ya miezi miwili.
 
Kuna changamoto gan kwenye kuuza hisa ukitaka pesa yako?
Hakuna changamoto yoyote
Pia ukiachana na hisa, UTT nikuongezee chaka jingine la hela ambalo wanatumia wakubwa.

Nunua dola mzee ni noma sana.

January dola ilikuwa 2250 leo dola ni 2600 ongezeko la mia 400 kwa kila dola.

Kama ulikua na dola 10,000 january leo una faida ya 400×10,000 ambayo ni 4,000,000/= bila jasho ndani ya miezi miwili.
Sawa mkuu ngoja niusome upepo IPO siku nitajilipua
 
Safi.
The higher the risk the higher the profit.

Wekeza mzee
Pia nikushauri kutowekeza sana NMB. Hisa zake zinaelekea kufikia kikomo cha bei. Kifupi imekua overpriced kutokana na ukuaji wa ghafla kipindi cha Magufuli. Kumbuka kipindi kile benki zenye mahusiano na serikali zilipiga faida sana na kufanya demand ya hisa kuwa kubwa.

Now inaelekea kufikia ukomo.

But huu ni mtazamo wangu wangu wa kingumbaru. Lolote linaweza kutokea.

Ila hisa 140k za CRDB mzee umetisha sana. Mimi hisa 12k tu nimeona faida ya more than 500k je wewe...
NMB Haina mchongo kivile
 
Mkuu usinifanye nkauze nyumba mbili za URITHI nizilizopewa maana HATA sizielewi wapangaji WALIpe wanapojisikia woii
Uza moja. Bakiza ingine.
Hii moja nusu weka bond za bot nusu nunua hisa. Kaa kama bwege kwa 25years, hela zinakunyamazisha maendeleo watazungumza wenyewe
 
Ni issue ya calculation tu ie hisa 1000 NMB * 5900 = 5,900,000 while hisa 1000 CRDB * 760 = 760,000 huoni utofauti hapo? Divient ukinunua hisa za CRDB mwaka huu kwa 5,900,000 ÷ 760 =7763 × 67 = 520,121 while NMB with same amount Utapata hisa 1000 * 360 = 360,000. Chaguo ni lako
Mwamba inaonekana hii umefanyia utafut sana
 
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.
Hisa za CRDB zikoje
 
Back
Top Bottom