Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

Ukisoma comments huko juu watu walinicheka sana. Nilinunua kwa 650,660 na 670 nilikuwa na hela sehemu kama 40m nikanunua tena hisa kwa 670 January mwanzoni, so saivi Nina hisa 142,610 CRDB hisa 420 NMB hisa 2800 DCB hisa 2680 Nicol ndogo mdogo na kila nikipata pesa nanunua hisa. Gawio mwaka huu litakuwa Kati ya 65 na 70 kwa hisa.
Hisa zina risk zake hope for the best but don’t count your money on the gambling table.
 
Pia ukiachana na hisa, UTT nikuongezee chaka jingine la hela ambalo wanatumia wakubwa.

Nunua dola mzee ni noma sana.

January dola ilikuwa 2250 leo dola ni 2600 ongezeko la mia 400 kwa kila dola.

Kama ulikua na dola 10,000 january leo una faida ya 400×10,000 ambayo ni 4,000,000/= bila jasho ndani ya miezi miwili.
Unq
Hakuna changamoto yoyote

Sawa mkuu ngoja niusome upepo IPO siku nitajilipua
Unanunuaje dollar
 
Unq

Unanunuaje dollar
Dola inaposhuka thamani wewe chukua shilingi yako ibadili kuwa dola nenda bereau exchange. Unaiweka dola muda kadhaa mfano Dec dola ilikua ni 2200 watu wakaanza kuziuza zaidi. Wewe ukiinunua na kama umekaa nayo mpaka sasa ile dola 1 ya January now ni 2650 ongezeko la 450 kwa kila dola.

Ina maana kama ulikua na dola 10000 utapata faida ya 4.5m ukiuza kwa sasa...
 
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia. Nb kila hisa nimenunua kwa 660.
Mkuu naona una million 5 na laki tisa,kulingana na gawio la mwaka huu
 
Mwakan siku kama ya leo naomba inshallah tukiwa hai naomba usisahau kutuma mrejesho wa ongezeko la pesa au gawio na ufanye mahesabu kama the same pesa ingekuwa utt ingekuwa imeongezeka kias gan tuone wap kuna afadhali ila mhh all the best
Utt ndio best solution
 
ukata wa dola umewangusha sana mwaka jana, kazi kwa mazoea bila kujari wateja kunaenda kuwaangusha pia

kifupi wafanya kazi wa CRDB hasa mameneja hawajishughulishi tena wanahisi wamemaliza kazi

naiona NBC inakuja vizuri

CRDB walipeana sana kazi kindugu, fuatilia hili utajua. Matokeo yake wana workforce kubwa ya watu wazembe. Wasio jali wateja, wako bado kwenye kipindi ambacho wao walikuwa benki pekee na kulikuwa hakuna alternative.
 
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia. Nb kila hisa nimenunua kwa 660.
Tunaendelea mdogomdogo
 
Ukisoma comments huko juu watu walinicheka sana. Nilinunua kwa 650,660 na 670 nilikuwa na hela sehemu kama 40m nikanunua tena hisa kwa 670 January mwanzoni, so saivi Nina hisa 142,610 CRDB hisa 420 NMB hisa 2800 DCB hisa 2680 Nicol ndogo mdogo na kila nikipata pesa nanunua hisa. Gawio mwaka huu litakuwa Kati ya 65 na 70 kwa hisa.
Hongera sana brother, kamwe usisikilize maneno ya watu wanaokukatisha tamaa, as long as ulifanya analysis yako vizuri…You are good to go… Mm mwenyewe nilinunua 3 yrs back za Crdb enzi zikiwa 380 zaidi ya 100M, ssiv bei imedouble na dividends 3 times…
 
Back
Top Bottom